Kwani kuna shida gani akijiita rais wa meru , mbona kuna marais wengi tu na hawachukuliwi hatua mfano rais wa TFF , rais wa chama cha walimu ,rais wa tucta ,nk
Hata Waingereza walikuwa na matumaini kama hawa kwa Godorn Brown ,maana jamaa alikuwa kichwa kwny mambo ya uchumi na alifanya vema wizara ya fedha, lakini alipokuwa PM mambo hayakwenda kama walivyotarajia so tumpe muda tuone
Cha kusubiri ni report ya CAG ya mwakani basi ,maana ofisi nyingi za serikali huwezi kupima utendaji , urasimu ndo umejaa na very poor customer service, wanahitaji training kwa kweli
Kushindwa uchaguzi sio kwamba wananchi wote wamekukataa , na ndo maana hakupata kura 0 , pia si kwamba huna uwezo wa kazi , kunaweza kuwa na sababu nyingi sana ndo maana mshindi huwa mmoja , ikiwemo pia chama unchogombea nacho , inawezekana pia angegombe kwa ticket ya chadema angeshinda pia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.