Hey!!!! Pugu Boyz wa enzi zileee na wasasa

dah kweli ww ulisoma pugu. Nilipiga pale 1999. Hv mama pendo alikufa? Dah halafu J. Wasi wasi yupo Moevt pale,
NILIKUA NAKAA UJAMAA 5.

Mkandawile nae aliondoka.

Mpaka sasa nakumbuka maandishi ya pale Admin's block ''DOCEBIT VOS OMNIA''

wapi James Chiggs, Thuwein Makamba? Hawa walikua mabest wangu na Sospeter sijui nani vile mtoto wa Kibaha.
Mmemsahau Mnongalingi, Songombingo.....
 
Du wanafunzi wenzangu PUGU BOYS wazee wa fungus kweli miaka imeenda, wenzangu wa miaka ya 97 mtakumbuka neno ''DOCEBIT VOS OMNIA'' lilipoleta ugomvi na wenzetu dini fulani. tutafutane jama
 
kwa wale wazee wa starehe mnapakumbuka kaikai bar na yule muuza kiepe mashuhuri mwisho wa lami anaitwa GEZE,huyu jamaa alikula hela zetu mpaka tukamuozesha, wale wa totoz mnamkumbuka yule mtoto wa taasisi Angel...?
 
Swai alifariki siku si nyingi na pia mwalimu wa hesabu (high school) ............. nae pia kafariki. Niliishi Mapinduzi (1986). Jamani vile vyoo tulikuwa tunavua mashati kabla hatujaingia. Kumerekebikaa?
 
kunaitwa beto mkuu, milango ya bati.
 
Dah!Mmenikumbusha Mzee Mtera(aliwahi kuwa H'master kitambo) na mkewe mama Mtera(former biology teacher) walifariki wote kwa pamoja juzi tu hapa.
Mmesahau dom la Mapinduzi tulivyokuwa tukilitwaa kombe la mbuzi kila mwaka kwenye inter-dormitory competitions.Kwa wanaokumbuka enzi za kina Sarwat(chemistry), Nzoy,Charwe,Muyenge,Swai,Mnzava na wengine kibao.
Mapinduzi mlikuwa wachumba tu kwenye mashindano ya mabweni....
 
mi sio wa zamani sana. Nimeua 6 mwaka 2009, Pcb form 6 G unit. Maendeleo 1 ndo maskani. Nlikua bingwa wa kukimbia kuosha madish mpaka yanafungiwa. Namkumbuka Mama G, maandaz yake yalikua yanagombaniwa mbaya, yakiisha ndo wengine wanatoa yao wauze. Nakumbuka sana Disko Vumbi DV majohe.
 
dah mm nilipita pale 1999 wakuu. Huyu aliyenikumba Beto, Pondi dah haaah haah haaah
 
Du wanafunzi wenzangu PUGU BOYS wazee wa fungus kweli miaka imeenda, wenzangu wa miaka ya 97 mtakumbuka neno ''DOCEBIT VOS OMNIA'' lilipoleta ugomvi na wenzetu dini fulani. tutafutane jama

hiyo chata Docebit Vos Omnia siisahau kabisa mwana na ile landrover ya Nyerere pale kota yake ya zamani.
 
umemsahau na Ogesa mhehe mwenye roho mbaya, wali kwa mama pendo (rip) mihogo mwisho wa lami, kuwahi rowcall unapandisha kilima cha baghdad kwama tambarare, kutega mingo kisumu na kigogo fresh,kusikiliza bongolevar dukani kwa mwombeki,mihogo na chai ya kununua maabara ya agriculture, toilet mpaka uvue nguo zote maana ukiingia na jezi unatoka unanuka kinyesi,duh balaaaaaaa,fungus za pond nomaaaaaa

Dah! Kumbe mama pendo amefariki? Hii imeniuma kidogo, yule mama katulea sana.
Ila njia yetu ni moja.
Mi nilikuwa Azimio 4 badae nikahamia umoja 2.
 
Hahaaahahaa siamini kuwa wote mwajifanya kusahau ubabe wa Mapinduzi kwa kila nyanja.Tulikuwa tunaongoza kombe la mbuzi, hata zawadi za usafi kila week kwenye weekly report kipengele cha CLEANLINESS utasikia ni mapinduzi tu.
Kuna watu wanachanganya hapa,Ogesa ni pure msukuma ila sikuhizi amepewa shule ya kata.
Mabagala bangi mtu ndio second master.Kwa sisi wa miaka ilee ukienda kufata cheti lazima utoe pesa kwake ndio akupe.
Juzi juzi hapa Meya wa Ilala Jerry Silaa alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali akamponda live on stage mabagala kwa ufundishaji wake mbaya wa physics.Ilikuw aibu sana kwa kuwa Jerry alieleza kila kitu in details.
Tusiisahau PUGU jamani turudi tukaiendeleze.
 
Huyo Jerry nilimuacha pale akiwa form 1 wakati mi namaliza six pale.

Hapo red:
Kuna mchakato umeshaanza wa kuanzisha Pugu Alumni. Mambo yakiwa tayari nitaweka hapa kila kitu.
 
Huyo Jerry nilimuacha pale akiwa form 1 wakati mi namaliza six pale.

Hapo red:
Kuna mchakato umeshaanza wa kuanzisha Pugu Alumni. Mambo yakiwa tayari nitaweka hapa kila kitu.
Fanya haraka mkuu, naipenda Shule yangu. It deserve 2 be a special school, Hata kwa kumuenzi Mwl JK. Nyerere tu. Kilio hiki kimfikie Mh. Waziri wa Elimu, atapata credit kwa hili.
 
umemsahau na Ogesa mhehe mwenye roho mbaya, wali kwa mama pendo (rip) mihogo mwisho wa lami, kuwahi rowcall unapandisha kilima cha baghdad kwama tambarare, kutega mingo kisumu na kigogo fresh,kusikiliza bongolevar dukani kwa mwombeki,mihogo na chai ya kununua maabara ya agriculture, toilet mpaka uvue nguo zote maana ukiingia na jezi unatoka unanuka kinyesi,duh balaaaaaaa,fungus za pond nomaaaaaa
ha ha ha fungus , wanafunzi wa pugu walikua hawahitaji uniform kuwatambua maana muda wote mikono yao iko kunako wanakuna fungus
 
Haaahaaahaaa! Duh! Umenikumbusha sana enzi hizo nikiwa msela! Mi nilikuwa pale 1998, ilikuwa ni noma manake nimetoka dei naanza maisha ya boarding
Utata ulikuwa ni fungus wa pondi, p..bu zinawasha balaa halafu ukijikuna unaskia utaaaaamu...
Wapi Mmari, Manoni, Mwasanyamba, Lungu, Edgar, Abas
 
nimeipenda iyo..,nimemaliza pugu boyz 2005..mabagala bdo yupo.,pondi kama kawaida na mama P amefariki..long time jaman
 
Umoja tulikua tunaibuka kidedea kwa usafi kila wiki......Docebit vos omnia .......iko juu>
 
Back
Top Bottom