kilichonichosha zaidi ni kumpa Kigoda wizara ya viwanda huyu bwana tangu enzi za mkapa ni madudu ma2pu bwana Mwandosya ashajizeekea mpk basi lkn bado anamweka2 eti 'waziri asie na wizara maalum' huyo Selina Kombani ndo kamtwisha U2mishi atauweza?? Sina imani na washauri wake km sio washauri bac mkubwa ujuaji umemzidi aaaaaaagh....!
ndugu yangu umeliona hilo,jamaa ndo alikua kwenye ubinafsishaji huyu,kwakweli ckutegemea UJIO WAKE