Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
Mafilifili uliyosema mengi siyo kilio cha wananchi. Kilio cha wananchi ni;
1.0 Mfumuko wa bei. Llikishughulikiwa hilo CCM itasalimika kwa 26% hivi ambazo ni nyingi maana mpaka saizi uchaguzi ukifanyika mna 15% ya kushinda!!!!
2.0 Kuacha kuukumbatia ufisadi na kubebena. CCM saizi inaonekana bila baadhi ya watu ambapo utendaji wao siyo wa kutukuka lakini wanang'ang'aniwa!!!!! Mfano ni Makongoro Mahanga.
3.0 Makundi nao yanaitafuna sana CCM bila yenyewe kuliona hilo. Makundi ndiyo yaliyoifikisha CCM hapo!!!!!
Mafilifili nakuomba uache porojo uje na hoja na siyo ubabaishaji.