Kweli lakini? Itakuaje atangaze kujiuzulu mbele ya mkuu wa mkoa wakati yy kateuliwa na presidee? Haijakaa sawa hii
Kazi yao ni kumuwakilisha mkuu wa kaya na kusaidiana na polisi kuzuia maandamano yanataka kutokeaKwanza hao wakuu wa Wilaya hawana kazi, Kama kweli kajihuzulu tutaipata taarifa rasmi