Huyo mama ni hatari kuliko nyoka. Anagombana na mme wake halafu anakwenda kumshitaki kwa mtoto wake?
Kabla hujawa mtu mzima alikuwa anapeleka kesi wapi? Ninachoamini kupigana hawajaanza leo wala jana.
Kwa kifupi kesi hiyo huna mamlaka ya kuitolea maamuzi. Huna mamlaka ya kumtoa baba yako...
Utaratibu ni huo huo unalipia 210k ya registration unapewa SARIS account kisha unasajili course. Utalipia units zako kwa installments 2 ya September na March.
Huwa wana resume ila hiyo miaka 8 sijajua itakuwaje.
0764 234821 Huyu ni Drc wa tawi la open Geita mcheki kwa msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.