Jinsi gani naweza kusoma Open University?

Jinsi gani naweza kusoma Open University?

MSAADA WANAJAMVI: Na Vipi kwa ambao wame Disco wakiwa Mwaka wa 3 ( mwaka wa mwisho wa masomo) kwa Course ya Environmental Sciences & managt (Sua) utaratibu wa kurudia mwaka ukoje bila kuanza wa kwanza. Karibuni kwa Ushauri na mengineyo
 
Aisee hapa naona nmeshachelewa maana November ndo hii au naweza kukubaliwa mwezi december
Na vp khs undergraduate degrees utaratibu wa maombi na kuzilipia hizo units huwa ukoje
Nmewahi kuomba nikachaguliwa course ya journalism sikwenda kusoma maana nlipata course nyingine chuo kingine imepita miaka km 8 naweza kuresume au itabidi nianze upya?
 
Utaratibu ni huo huo unalipia 210k ya registration unapewa SARIS account kisha unasajili course. Utalipia units zako kwa installments 2 ya September na March.
Huwa wana resume ila hiyo miaka 8 sijajua itakuwaje.
0764 234821 Huyu ni Drc wa tawi la open Geita mcheki kwa msaada.
 
Hya asante mkuu
 
kama elimu yako ni form four haina shida mkuu.
pale kuna course inaitwa foundation. hii itakufanya uwe na sifa za kusoma degree ukimaliza na kufaulu
course hii inasomwa na wale ambao hawajamaliza form 5-6.
sisi mfumo wetu wa kujiunga na vyuo vikuu unataka lazima umalize form 5-6 ndiyo maana ni vigumu hata kwa wanafunzi kutoka nchi nyingine zisizo na hiyo mifumo
asante
Ninavyojua foundation husomwa na wale ambao grades zao hazitoshi kujiunga na vyuo vikuu, waliotoka 6 na wale wa diploma wenye GPA chini ya 3.0 kama cjakosea.
 
Ndo hivyo lakini kuna wengine wamemdanganya kuhusu hii kozi na hawana taarifa za kina
 
Back
Top Bottom