Recent content by socratess

  1. S

    JamiiForums Tanzania Miezi Mitano ya Juliana Shonza na Mtela Mwampamba: Tathmini ya Kupata au Kuliwa?

    Mkuu umeongea vizuri sana naunga mkonn comments zako kwa 100% na inaonekana ww ni WISE MAN
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba tena!!

    wakati mwingine kama huna cha kuandika ni bora uwe unasoma thread za wenzio coz huna point hata kidogo,itakuwa umeishia chekechea kielimu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Amiri Mtoi mhanga wa bomu la Arusha amezikwa leo Mkuzi - Lushoto.

    poleni sana kaka binafsi nimeumia sana na hivi ninavyo andika machozi yananitoka,naomba niishie hapo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

    umenena vema mkuu nakuunga mkono kwa 80%
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi gani ndani ya CCM unaweza kumlinganisha na Nyerere?

    mwigulu lameck nchemba
  6. S

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mwl JK Nyerere

    Dear Mwl,tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika: siku hizi mlima kilimanjaro upo Kenya,Ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya,Tanesco ni ya mtu binafsi,pia Rais wetu siku hizi anaishi Airport. Mwl huku historia imebadilika kuwa Tanzania imetokana na visiwa vya Pemba,Unguja na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Chadema mnako elekea ni kuzuri

    Tunaelewa sana kwamba ukiwa madarakani ushindi ni lazima lakini hakuna marefu yasiyo na ncha
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chadema mnako elekea ni kuzuri

    Kwa sasa kweli mabadiliko yanakaribia Tanzania kupitia kwa CHADEMA,nimesema hayo baada ya kufanya simple analysis.kwa propaganda ambazo CHADEMA wemetupiwa mwaka huu ni wazi kwamba ingekuwa enzi zile usingepata hata mtu mmoja kwenye mikutano ya CHADEMA,lakini hali imekuwa ni tofauti pamoja na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Dr.Slaa Uyole- Mbeya; CHADEMA waomba michango kugharamia ujio wa Dr.Slaa

    Umeandika kama unafukuzwa,post yako ni fupi sana lakini umekosea spelling mara nne,sasa sipati picha kama ungeandika sana ungekosea mara ngapi?inawezekana nyie ndo wale wanamaliza darasa la saba hamjui kuandika
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

    Nakubaliana na hoja zako kwa asilimia mia moja
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

    Umenena vema mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Masumbuko lamwai miaka michache iliyopita alikuwa ni miangoni mwa mawakili wazuri sana na hata alipokuwa mbunge alikuwa anajua sana kujenga hoja bungeni,na aliweza kuwafanya vijana wengi wa wakati ule wasome sheria wakienda chuo kikuu,swali langu hivi huyu jamaa yuko wapi?na nini kilimpata mpaka...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

    Mawakili wa CHADEMA kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Dr. Slaa na Mbowe huwa hawatoi matamko ya kufariji waathirika kunapotokea majanga?

    nimefurahi kwa mara ya kwanza tangu nimeingia humu JF ndo leo umeongea pointi kwa kukili kuwa CHADEMA watachukua nchi,big up M4C
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

    Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani. Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka...
Back
Top Bottom