Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

mi kipindi nilikua sijazaliwa ila nilisikia tu kama wewe!
 
1.Wewe SOCRATESS kama unahoja ya kuthibitisha TZ iliwahi kuwa ya tatu kwa haya mambo duniani hebu toa takwimu za hivi sasa ni yangapi? ukishindwa eleza hata chanzo tunachoweza kukifata na kupata takwimi hizo. Ukishindwa basi ulichoeleza ni UTOTO mtupu!
 
tena sio ya tatu, niliwahi kusikia ni ya pili, na hata leo kuna vijamaa mtaani ukibishana navyo utatamani uvipige ngumi, vinasema eti tanzania ni ya pili kwa upelelezi duniani, tena wanakwambia eti ikitoka israeli ya pili ni tanzania.

upelelezi wenyewe wa matukio yetu yanayotokea ndani ya nchi yanatushinda ndio uje huo upelelezi wa kimataifa!!!
 
Natupa lawama kwa TISS 10% na 90% kwa wa TZ nikiwemo mimi mwenyewe, kwa sababu...
Population yetu wa TZ ni 50 mil. na sina uhakika kama hawa jamaa wanafika 1 mil. so wajibu wa kulilinda taifa unabaki mikononi mweyu sote.
Ni sawa kwa mfano hili la Arusha jamaa wameingia na kawakugunduliwa na TISS lakini walijificha miongoni mwetu tena tukashirikiananao Je tuilaumu TISS au tujilaumu wenyewe?
 
Kwa hiyo. TFDA wasipewe lawama kwa uongezeko la madawa feki katika maduka ya madawa, kwani madawa feki yapo sehemu za uraiani, na raia wanawajibika kuyagundua na kuyazuia. Au? Hakuna mwenye wajibu wa kwanza katika kazi hiyo?
 
socratess lazima umeishi MBY miaka ya nyuma
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Kiranga hajabisha, amesema anaweza kubisha. Jua tofauti iliyopo hapo.

Na uhuni, kwa kiasi chake, sio mbaya sana kama unavyosingiziwa. Bila uhuni hakuna maendeleo.

Tatizo letu sio kwamba hatuna heshima sana.

Tatizo letu tuna heshima sana, na uhuni kidogo sana.

Hahaha ulizaliwa kwa operesheni nini?
 
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

Ufanisi wetu:-

quote_icon.png
By Hiroshima
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA LA MT. JOSEPH – OLASITI JIJINI ARUSHA LILILOTOKEA TAREHE 05/05/2013

Ndugu wanahabari, mtakumbuka kwamba mara ya mwisho nilipokutana nanyi niliwaahidi kwamba nitaendelea kuwapa mara kwa mara taarifa juu ta maendeleo ya upelelezi wa tukio la mlipuko wa bomu lililotokea katika kanisa katoliki la mtakatifu joseph mfanyakazi parokia ya olasiti tarehe 05/05/2013 na kusababisha vifo vya watu watatu(3) na wengine kudhaa kujeruhiwa.

Kama nilivyowaeleza hapo awali, baada ya tukio hilo jumla ya watuhumiwa tisa(9) walikamatwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo la mlipuko wa bomu kanisani. Watuhumiwa haoa ni victor Ambros Kalist, (20), dereva wa bodaboda na mkazi wa kwa Morombo; Yusuph Lomayani Josee (18) mwendesha bodaboda mkazi wa kwa Morombo na George Bathlomeo Silayo (23) mfanyabiashara na mkazi wa Olasiti.

Watuhumiwa wengine waliokamatwa ni raia watatu toka nchi za falme za kiaruabu (UAE) Abdul Aziz Mubrak (30) mfanyakazi wa mamlaka ya mapato katika falme za kiarabu, Fouad Saleem Ahmed Al Hareez Al Mahri (29) mfanyakazi wa kikosi cha zimamoto katika Falme za Kiarabu, Saeed Abdulla Saad (28) askali polisikitengo cha traffic katika falme za Kiarabu, pamoja na raia mmoja wa Saudi Arabia Al-Mahri Saeed Mohseens (29)

Rai hao wa kigeni walikamatwa pamoja na wenyeji wao wawili ambao ni raia wa tanzania wenye asili ya Yemen. Majina ya watanzania hao ni Mohamed Suleiman Saad, (38) mkazi wa ilala jijini Dar es Salaam na Jasm Mubarak (29) mkaazi wa mtaa wa Bondeni jijini Arusha.

Uchunguzi wa kina uliofanywa na timu ya upelelezi ukihusisha taaasis nyingine za upelelezi FBI pamoja na INTERPOL kuhusiana na tukio hilo la mlipuko wa bomu kanisani umebaini kuwa raia hao wanne wa kigeni hawakuhusika katika shambulio hilo.

Baada ya jalada la tukio hilo kufikishwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Arusha – divisheni ya mashtaka imeelekeza kuwa watuhumiwa hao wakabidhiwe ofisi za idara ya uhamiaji mkoa wa arusha ili kuona kama kuna taratibu zozote za kiuhamiaji ziikiukwa na wageni hao wakati walipoingia nchini ili hatua stahili ziweze kuchukuliwa dhidi yao.

Pia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali imeandaa mashitaka dhidi ya victor S/O Ambros kalisti na amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za mauaji na kujaribu kuua. Uchunguzi dhidi ya watuhumiwa waliosalia unaendelea kwa sasa tunao wataalamu kutoka kenya na Uganda ambao tunashirikiana nao katika upelelezi wa shauri hilo.

Aidha, hadi sasa idadi ya majeruhi wa tukio hilo la mlipuko wa bomu wanaoendelea kupata matatibabu katika hospitali mbalimbali ni 31 ambao kati yao 19 wanaendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa mount Meru arusha, 4 katika hospitali ya St. Elizabeth arusha na wengine 8 katika hospitali ya taifa muhimbili jijini dar es salaam na taarifa zinaonyesha hali zao zinaendelea kuimarika.

Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea kufuatilia taarifa za watuhumiwa wengine wanaohusishwa na tukio hilo ili waweze kukamatwa na kufikishwa mahakamani pia jeshi la polisi linaendelea kuwaomba wananchi au raiayeyote mwenye taarifa zitakazowezesha kubaini mtandao wa kigaidi nawatuhumiwa wengine wanaohusika na tukio hilo wajitokeze na kuwasilisha taarifa hizo; tayari mkuu wa jeshi la polisi (IGP) amekwishaahidi zawadi nono ya Tshs. 50,000,000/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa hizo za siri kwa kukamatwa kwa watu hao.

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.
IMETOLEWA NA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA
LIBERATUSI SABAS – ACP
TAREHE 13/05/2013.
 
Mwanzo walisema waarabu wamekamatwa kwa taarifa za ambrose baadae wakasema wamekamatwa sababu walikua maeneo ya tukio na kama isingekua ubalozi wao kuwasaidia wangetolewa kafara bure maskini nawaskitikia FBI wao ni proffessional wameingizwa kweny mtego wa siasa hawatapata chochote!
 
Sidhani kama TISS wapo fiti.
Hawajui kustabilize uchumi kwa kupanga bei za bidhaa muhimu.
Mitihani ya taifa inaleak hovyo.
Simu zao zinakamatwa (transactions) na taasisi nyingine.
wakikufuatilia, unawashtukia na magari yao yanajulikana kirahisi, yapo uniform.
Hawawatumii wanawake wazuri.
Walevi na wakikuonyesha silaha zao zipo outdated, na huzionyesha wazi.
Hawana gadgets za maana, popote anapoenda diplomat au cabinet member, huwa hakuna surveillance, ambazo nowadays zipo cheap sana..... you can go on and on and on...
 
Mwanzo walisema waarabu wamekamatwa kwa taarifa za ambrose baadae wakasema wamekamatwa sababu walikua maeneo ya tukio na kama isingekua ubalozi wao kuwasaidia wangetolewa kafara bure maskini nawaskitikia FBI wao ni proffessional wameingizwa kweny mtego wa siasa hawatapata chochote!
Asubuhi njema kwako na wanajf: Hapo kuna vuguvugu la kisiasa na diplomacia... Ukitazama tangu mwanzo utaona repoti
na matamko ya ajabu ajabu, ukijaribu kuunganisha vipande kimoja na kingine utapata mshituko na kutafakari mengi zaidi.
Yaani Intelijensia yetu haikuweza hata kwa hatua ndogo kupeleleza ndani wale VIP au wa Madhehebu ya Agalican, Protestant,Balozi, nk. kuwa kuna shuku au uhasama baina yao, ili iweze kuchambua mpasuko wandani ya jumuiya/kundi upo uwezekano wa kutenda ubaya juu ya wahasimu wao. hilo lilikuwa la kwanza kulitafakari kwani inaeleweka kuwa kila mkuu au kiongozi huwa ana maadaui.
Lakini tuhuma ilienda direct moja kwa moja na kunyoshea vidole wale wanyonge wao wa zamani na kuamua kukamata walo karibu na uisilamu. " hiyo kwa polisi wetu huwaga njia rahisi ya utendaji wa kazi zao " lakini haki ni haki haipotei hata kidogo... ona sasa wamekula matapishi yao wenyewe.!! Kazi za ubalozi za waarabuni zimedhihirisha kuwajibika kiutu juu ya raia zao. ndivyo INVOTAKIKANA...
mie nilisema hapo awali FBI hufuata kanuni na taaluma za maudhui ulivyo wao hawatumi hisia na kurupuko wapo makini.
Ngoma tutaicheza sisi waswahili, Visasi na fujo wafanyiane wnyewe huko mpira tunatupiwa waisilamu. wewe tazama utasikia jangaa lingine pia juu ya waisilamu. mungu aepushe mbali. amin
 
ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya tiss hata ikawa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha tiss ya enzi za nyerere na tiss ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio tiss.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.
habari kama hizi huwa zanisikitisha sana sana .
 
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

Sasa hivi raia wa nje hapa Tanzania ni kwao kwa sababu hakuna ulinzi mfano ukienda Temeke Wasomali kibao wengi wao wanaingia kwa njia za panya, Buguruni Wasomali kibao nao ni hivyo hivyo. Ukipeleka taarifa polisi wao taarifa zao ni dili la pesa. Ndiyo maana nilimuuliza IGP hizo milioni 50 unazotaka kutoa kama zawadi kwa atakayetoa taarifa za uwepo wa magaidi itawezekana kweli???
 
hivi usalama wa taifa tanznaia unasoma hizo comment na kuzitafakari? hii nchi itakuja kugawanyika kama Congo Drc kama hatua hazita chukuliwa.
Ukichungza kw undani sana unaona ile ari,utaifa na umoja wa kitaifa haupo tena ndani yetu.
Mkuu kikwete anashangaa na vikosi vyao vya uslama lakini hawajui wap ndio chanzo na wao ndio mwisho wa haya matatizo ya nchi hii.

chukua hatua!
 
Mbona kuna nchi zinafahamaika kwa majeshi zinaongoza duniani. Iweje intelligence agency tu ndo zisirankiwe? Wanazuoni niwaulize kwani ni lazima kila kitu kirankiwe kwa kuangalia quantitative data tu? Ina maana hatuwezi kujua kitu fulani ni cha ngapi kwa kuangalia qualitative data. Kama hatukuwahi kushambuliwa, na kama siri za usalama hazikuwahi kugunduliwa, na kama mbinu za majasusi ziligunduliwa mapema kabla madhara hayajatokea kwa nini tusijilinganishe na mataifa mengine na kujipa nafasi stahili? Mimi naweza kukubali kuwa huenda miaka hiyo intelligencia yetu ilikuwa ya tatu.
umenena vema mkuu nakuunga mkono kwa 80%
 
TISS imegawanyika vipande... JK kaingia kaanza eti kubalance udini matokeo vilaza wamejazana. Zamani mtu kuingia TISS ulikua unafuatiliwa tokea shule. ata kuwajua zamani ilikua issue... nilimsikia mmoja analalamika kua "tunakamata watu mara kibao lakini matokeo tunaletewa vimemo"
 
Usalama unaongozwa na mgeni toka nchi ya zanzibar wategemea nini..miujiza hii ipo tanganyika tu!...na mimi nikipewa nchi hii nitamteua mhindi ili tuwalishe pilipili mpaka..

unauhakika? au unapayuka tu hapa.
 
Back
Top Bottom