Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

sio kwa wanasheria tu,hata kwa wabunge bungeni...kunawabunge wa ccm wanaunga mkono "ndiyoooooooo,alafu huyo huyo anauliza jirani yake "which Bill have I passed"?,wengine ni kuchapa mbonji na kujivika uwaziri kwa kuijibia serikali,kwa wanasheria wa serikali(State attorneys)kazi yao kidogo ni ltd,hasa wanasimama kwa niaba ya jamuhuri kwa case za jinai ama zile ambazo za madai serikali inashtakiwa,au agent wa serikali anashtakiwa na AG akahusishwa hapo,,,hawa wanasheria wa kujitegemea ni Advocates,hawana mipaka hawa jamaa,na ndo maana wanasheria wa gvt haruhusiwi ku hold brief case,but Advocate ni ruksa,pia hawa wa serikali wapo wiki sana,,,ukisoma kesi nyingi serikali na wanasheria wake hawa wamekua wakichemka sana,angalia ndugu zetu wa mahenge,zombe na wenzake huru,dowans,lwakatare,na nyingine nying tu ambazo wamechemka,nasababu hasa ni uzoefu na kuhujumu ushahidi ktk baadhi ya case kwa maslah yao or ushkaji.
 
You are just forging your naive argument. It is a judicial notice that state attorneys are less competent than the private advocates. That is so because of the lack of impetus based on financial interests, competition, and the like. Private advocates are very creative,effective in their practice so as protect and create more customers.
This fact is based on research,not emotions as you are trying to stem it. Aristotle(Greek philosopher) once said Truth is universal!

Nakubaliana na hoja zako kwa asilimia mia moja
 
sasa unategemea mashitaka aliyosuka kilaza Mwigulu Nchemba hata akapewa tundu lissu au mabere marando ndo asimamie angeshinda?kilaza kama mwigulu hata kusuka kesi hawezi
 
Last edited by a moderator:
Mawakili wa CHADEMA kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na kujenga hoja mahakamani ukiwalinganisha na wale wa CHADEMA.

Naomba wadau tujadili

Mawakili wa serikali niwakuchonga kama mwigulu anavyo chonga video za ugaidi.Hawachaguliwi kwa sifa bali uteuliwa kwa kuzingatia kigezo kuwa ni mtoto wa nani.
 
Kazi ya Wakili wa kujitegemea kwenye kesi za jinai ni rahisi kwa sababu wanachotakiwa kufanya ni kuonesha reasonable doubts kwenye kesi ya upande wa mashitaka. Vile vile upande wa mashitaka huwa wa kwanza kupeleka mashahidi hivyo ni rahisi kutafuta mbinu za kudhoofisha kesi ya upande wa Jamhuri. Wanasheria ni walewale wawe wa Serikali au wa kujitegemea. Hata wao wa kujitegemea wengi wao walikuwa waajiriwa wa Serikali kabla ya kuacha.
 
Back
Top Bottom