Recent content by SOCIOLOGISTTZ

  1. SOCIOLOGISTTZ

    Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

    Huyu Uzi ni Makonda ameandika. Wala msipate shida kuzungukazunguka kama mawakili wa serikali!
  2. SOCIOLOGISTTZ

    Bibi Titi Mohamed na akina Mama wa Bukoba 1950s

    Wahaya walivyo na misifa.....wangeomba waunganishwe na USA
  3. SOCIOLOGISTTZ

    Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

    Huyu jamaa anatafuta kazi ya kubeba bunduki kwa nguvu, Mimi nakushauri gombea kazi za siasa na hao polisi utawatumia kama mbwa wako.
  4. SOCIOLOGISTTZ

    Ubongo wa kijana wa Dar umebeba mambo haya makuu

    Kizazi cha Nyoka, nani aliyewaloga????
  5. SOCIOLOGISTTZ

    Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Duh! Haya asanteni
  6. SOCIOLOGISTTZ

    Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  7. SOCIOLOGISTTZ

    Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Waandishi wanatuangusha jumla. Mwananchi huko nyuma ilikuwa na waandishi wazuri, sijui kwanini sasa wako hivyo
  8. SOCIOLOGISTTZ

    Bobi Wine naye ni wale wale?

    Mawakala hawataruhusiwa kuingia vituoni mpaka wawe na vyeti vinavyoonyesha kuwa hawana virusi vya corona. Hilo ndiyo bao LA mkono tayari.
  9. SOCIOLOGISTTZ

    Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

    Hivi Yale mambo ya kikubwa yaliishia wapi????
  10. SOCIOLOGISTTZ

    Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

    Mama Amon, msalimie Mzee Halima. Nadhani mnapeana raha huko mlipo,
  11. SOCIOLOGISTTZ

    Lissu: Muungano wa Tanzania (Zanzibar na Tanganyika) ni propaganda za watawala Nyerere alitaka Serikali moja wakati Karume alitaka Tatu

    Sasa kama kila kitu cha nchi hii kinaitwa cha Magufuli au serikali ya magufuli KWANINI asipambane naye ili vitu vya UMMA vibaki kuwa kuwa vya UMMA na vitajwe hivyo
  12. SOCIOLOGISTTZ

    Wale mliokuwa mnasema Rais Magufuli hajui lugha ya malkia hapo vipi??

    Hivi kusoma hotuba si sawa na mtangazaji kusoma taarifa ya habari??? Kabla ya kwenda hewani huwa wanafanya rehearsal ya kutosha. Natumaini hata jamaa amefanya rehearsal ya kufa MTU.
  13. SOCIOLOGISTTZ

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Na yule aliyetwaliwa akiwa maeneo ya Same.... Wameshafika zaidi ya watano
  14. SOCIOLOGISTTZ

    Upinzani waangukia pua mahakama ya Afrika Mashariki

    Wanasema aliyeandika ni Juliana Shonza!
  15. SOCIOLOGISTTZ

    Rais kuteua wakuu wa vitengo wa tasisi na mashirika ya umma imekaaje hii?

    Kiki kila mahali.... Jamaa akiona hata Waziri wake atapata Kiki hudandia kwa mbele.... Mfano swala LA mifuko ya plastiki, January kaonekana yuko juu mpaka Nape akampongeza, Jamaa kuona hivyo akaibukia Ferry na kikapu.....
Back
Top Bottom