Upinzani waangukia pua mahakama ya Afrika Mashariki

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Habari kutoka Korti ya EAC jijini Arusha ni hii

====

Arusha. Mahakama ya Afrika Mashariki, imetupilia mbali maombi ya dharura ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wakiongozwa na Freeman Mbowe kutaka mahakama hiyo, kuwasikiliza upande mmoja kusitisha utekelezaji wa baadhi ya vifungu katika sheria ya vyama vya siasa, ambavyo vinadaiwa kukiuka mkataba wa kuanzishwa kwa jumuiya hiyo.

Uamuzi huo, umetolewa leo Jumatano Juni 19, 2019 na majaji watano wa mahakama hiyo, katika shauri dogo lililowasilishwa kwa dharura la kuipinga sheria ya vyama vya siasa, ambapo upinzani ulitaka kusikilizwa upande mmoja kutokana na Serikali kuanza uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Akisoma uamuzi mdogo katika kesi hiyo, baada ya mahakama hiyo kusitishwa kwa muda, Kiongozi wa jopo la majaji wa Afrika Mashariki katika shauri hilo, Jaji Monica Mugenyi kutoka Uganda amesema kutokana na unyeti wa shauri hilo ni muhimu upande wa Serikali kushirikishwa kujibu hoja.

Jaji Mugenyi amesema hoja za kupinga vifungu vya sheria hiyo ya vyama vya siasa, zinapaswa kufikishwa haraka iwezekanavyo upande wa Serikali ili zijibiwe na baadaye mahakama hiyo itatoa uamuzi.

Majaji wengine waliokuwa wanasikiliza shauri hilo dogo ni Jaji Dk Faustine Ntezilyayo kutoka Rwanda, Jaji Dk Charles Nyawelo kutoka Sudani Kusini, Jaji Charles Nyachai wa Kenya na Jaji Fakihi Jundu wa Tanzania.

Shauri hilo dogo linatarajiwa kuendelea kusikilizwa kabla ya Juni 23, 2019 baada ya Serikali kupewa notisi ya shauri hilo na kujibu hoja za upinzani.

Hata hivyo, bado shauri la msingi namba 3/2019 kutaka mahakama ya Afrika ya Mashariki kutengua baadhi ya vifungu katika sheria ya vyama vya siasa linatarajiwa kuendelea katika mahakama hiyo.

Wakizungumza baada ya uamuzi huo, kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe wamesema wataendelea kupinga sheria hiyo kwani inakiuka katiba na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema amesema wataingia mitaani kutoa elimu ya wapigakura kwani ni haki ya kikatiba ya watu na hawatasubiri kupata kibali cha msajili wa vyama vya siasa.
 
kesi ipo pale pale Mahakama inataka serikali ijibu hoja na pia pande zote ziwe mahakamani namshangaa Wakudadavua alivyolipuka utadhani kesi imefutwa
 
Hivi wewe hichi ulichokileta umekisoma vizuri na kuelewa ????

Kimeandikwa kiswahili kilicho nyooka bado unatapatapa dah halafu ndio naibu waziri sijui wa nini ? Ndio maana Mrisho Gambo ana kesi ya kuwasema na degree zenu za chupi
 
Ndugu zangu, Upinzani waangukia pua mahakama ya Afrika Mashariki
Hivi wewe Wakudadavuwa mbona una akili ndogo kiasi hiki, yaani nilidhani tatizo ni lugha kumbe hata Kiswahili kinakupa taabu namna hii! Nachoka...
Hivi wewe hichi ulichokileta umekisoma vizuri na kuelewa ???? Kimeandikwa kiswahili kilichoo nyooka bado unatapatapa dah halafu ndio naibu waziri sijui wa nini ? Ndio maana Mrisho Gambo ana kesi ya kuwasema na degree zenu za chupi
Ndugu yangu Yamakagashi yaani unataka kuniambia na haka kapuuzi kalikoleta hoja hii ni naibu waziri katika serikali hii! Kwa kweli ni vigumu kuamini...naendelea kuchoka!
 
kesi ipo pale pale Mahakama inataka serikali ijibu hoja na pia pande zote ziwe mahakamani namshangaa Wakudadavua alivyolipuka utadhani kesi imefutwa
Kama Wakudadavuwa kweli ni binadamu kamili,na ni Mtanzania kweli,aliyepita kwenye vyumba vya vyuo vyetu vikuu,tena ni kiongozi,basi tupige goti tusali maana tuna tatizo kubwa sana la akili huko Tanzania.
 
Ndugu zangu,

Habari kutoka Korti ya EAC jijini Arusha ni hii

====

Arusha. Mahakama ya Afrika Mashariki, imetupilia mbali maombi ya dharura ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wakiongozwa na Freeman Mbowe kutaka mahakama hiyo, kuwasikiliza upande mmoja kusitisha utekelezaji wa baadhi ya vifungu katika sheria ya vyama vya siasa, ambavyo vinadaiwa kukiuka mkataba wa kuanzishwa kwa jumuiya hiyo.

Uamuzi huo, umetolewa leo Jumatano Juni 19, 2019 na majaji watano wa mahakama hiyo, katika shauri dogo lililowasilishwa kwa dharura la kuipinga sheria ya vyama vya siasa, ambapo upinzani ulitaka kusikilizwa upande mmoja kutokana na Serikali kuanza uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Akisoma uamuzi mdogo katika kesi hiyo, baada ya mahakama hiyo kusitishwa kwa muda, Kiongozi wa jopo la majaji wa Afrika Mashariki katika shauri hilo, Jaji Monica Mugenyi kutoka Uganda amesema kutokana na unyeti wa shauri hilo ni muhimu upande wa Serikali kushirikishwa kujibu hoja.

Jaji Mugenyi amesema hoja za kupinga vifungu vya sheria hiyo ya vyama vya siasa, zinapaswa kufikishwa haraka iwezekanavyo upande wa Serikali ili zijibiwe na baadaye mahakama hiyo itatoa uamuzi.

Majaji wengine waliokuwa wanasikiliza shauri hilo dogo ni Jaji Dk Faustine Ntezilyayo kutoka Rwanda, Jaji Dk Charles Nyawelo kutoka Sudani Kusini, Jaji Charles Nyachai wa Kenya na Jaji Fakihi Jundu wa Tanzania.

Shauri hilo dogo linatarajiwa kuendelea kusikilizwa kabla ya Juni 23, 2019 baada ya Serikali kupewa notisi ya shauri hilo na kujibu hoja za upinzani.

Hata hivyo, bado shauri la msingi namba 3/2019 kutaka mahakama ya Afrika ya Mashariki kutengua baadhi ya vifungu katika sheria ya vyama vya siasa linatarajiwa kuendelea katika mahakama hiyo.

Wakizungumza baada ya uamuzi huo, kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe wamesema wataendelea kupinga sheria hiyo kwani inakiuka katiba na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema amesema wataingia mitaani kutoa elimu ya wapigakura kwani ni haki ya kikatiba ya watu na hawatasubiri kupata kibali cha msajili wa vyama vya siasa.

Wapumbavu ndo ninyi,
Hivi hapo upinzani umeangukiaje pua kwa mfano, mahakama imetaka serikali iwepo mahakamani ijibu hoja na sii kukataa hoja za msingi za kesi hiyo, ie kesi itaendelea kama kawaida
 
Hivi wewe Wakudadavuwa mbona una akili ndogo kiasi hiki, yaani nilidhani tatizo ni lugha kumbe hata Kiswahili kinakupa taabu namna hii! Nachoka...
Ndugu yangu Yamakagashi yaani unataka kuniambia na haka kapuuzi kalikoleta hoja hii ni naibu waziri katika serikali hii! Kwa kweli ni vigumu kuamini...naendelea kuchoka!

Tatizo ID alochagua inaakisi matendo yake
 
Ndugu zangu,

Habari kutoka Korti ya EAC jijini Arusha ni hii

====

Arusha. Mahakama ya Afrika Mashariki, imetupilia mbali maombi ya dharura ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wakiongozwa na Freeman Mbowe kutaka mahakama hiyo, kuwasikiliza upande mmoja kusitisha utekelezaji wa baadhi ya vifungu katika sheria ya vyama vya siasa, ambavyo vinadaiwa kukiuka mkataba wa kuanzishwa kwa jumuiya hiyo.

Uamuzi huo, umetolewa leo Jumatano Juni 19, 2019 na majaji watano wa mahakama hiyo, katika shauri dogo lililowasilishwa kwa dharura la kuipinga sheria ya vyama vya siasa, ambapo upinzani ulitaka kusikilizwa upande mmoja kutokana na Serikali kuanza uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Akisoma uamuzi mdogo katika kesi hiyo, baada ya mahakama hiyo kusitishwa kwa muda, Kiongozi wa jopo la majaji wa Afrika Mashariki katika shauri hilo, Jaji Monica Mugenyi kutoka Uganda amesema kutokana na unyeti wa shauri hilo ni muhimu upande wa Serikali kushirikishwa kujibu hoja.

Jaji Mugenyi amesema hoja za kupinga vifungu vya sheria hiyo ya vyama vya siasa, zinapaswa kufikishwa haraka iwezekanavyo upande wa Serikali ili zijibiwe na baadaye mahakama hiyo itatoa uamuzi.

Majaji wengine waliokuwa wanasikiliza shauri hilo dogo ni Jaji Dk Faustine Ntezilyayo kutoka Rwanda, Jaji Dk Charles Nyawelo kutoka Sudani Kusini, Jaji Charles Nyachai wa Kenya na Jaji Fakihi Jundu wa Tanzania.

Shauri hilo dogo linatarajiwa kuendelea kusikilizwa kabla ya Juni 23, 2019 baada ya Serikali kupewa notisi ya shauri hilo na kujibu hoja za upinzani.

Hata hivyo, bado shauri la msingi namba 3/2019 kutaka mahakama ya Afrika ya Mashariki kutengua baadhi ya vifungu katika sheria ya vyama vya siasa linatarajiwa kuendelea katika mahakama hiyo.

Wakizungumza baada ya uamuzi huo, kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe wamesema wataendelea kupinga sheria hiyo kwani inakiuka katiba na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema amesema wataingia mitaani kutoa elimu ya wapigakura kwani ni haki ya kikatiba ya watu na hawatasubiri kupata kibali cha msajili wa vyama vya siasa.
Huyu Mbowe anahitaji arekebishwe yale macho yake. Aingie tu mtaaani.
 
Back
Top Bottom