Recent content by social_science

  1. social_science

    Najiuliza haya kwa ndugu Bernard Kamilius Membe

    Ukiwaacha hao wanaotajwa nani mwingine ananguvu ya ushawishi hapo chama mfu???
  2. social_science

    Kuhusu JKT reserve

    First selection & reserve wote wanachukuliwa, usiwe unauliza kila kitu kama mjinga kuna mdau kakuuliza upo wap ukimjibu ujue imekula kwako ndugu reserve.
  3. social_science

    Machale yamcheza JK , aamua kukagua mashamba yake Dodoma

    Ninyi ndio mnatakiwa kuondolewa,unashauri wenzio wachukue chao mapema.Mlipokuja kwenye hicho chama chenu mfu mlikua na chochote zaidi ya mikono nyuma.
  4. social_science

    Hali si hali: Magufuli ana uungwaji mkono kiasi gani ndani ya chama?

    Hao watu mnawatetea ila ni majizi,kuna huyo mfupi alitumwaga akanunue ng'ombe kwaajili ya sherehe baadhi akaswaga kuelekea tanga ikabidi Jk Nyerere amfukuze kwa kua mzee alikua mtu mwema alimsamehe na kumrudsha kazi.
  5. social_science

    Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

    Mleta mada hasipuuzwe kitu cha kujiuliza hao wazee wameweza vip kupata karatasi yenye nembo ya chama na kutumia mashine za uchapaji wakat miongoni mwa wamiliki wa waraka anamatatizo ya kuzoom.
  6. social_science

    Magufuli akiongea Bugando aagiza bili za matibabu India zihakikiwe

    Dolla 12M matibabu gan hayo,huko India imekua ni mianya ya kutorosha pesa.
  7. social_science

    Baraza la viongozi wastaafu wa CCM

    Hao wazee wamiliki wa waraka wametoa wapi hizo karatasi zenye nembo ya chama??
  8. social_science

    Wanandoa wanaoishi katika mazingira haya wanafanyaje faragha zao?

    Kuna familia walikua wakitumia vile vitanda vya kamba wazazi juu watoto uvunguni ilipofika usiku mzee akaanza kuomba tunda watoto wamekwisha lala ile anaweka ikapenya pemben bahati mbaya mpaka uvunguni,akawa anauliza mkewe vip mbna inaenda kusiko kijana wake mdogo aliekua uvunguni akajibu iko...
  9. social_science

    Namuonea sana Huruma Spika kwani Kijana Kipenzi anatumika Kummaliza ili Mama awe Spika 2020

    Kama huyo bwana akiwania ngwee nyingine atashangaza akapumzika muda sio rafik tena kuna wakati anazungumza huku sura imekunjamana utadhani kakalia pini.
  10. social_science

    Keisha ang’olewa ujumbe Kamati Kuu ya CCM baada ya siku 396

    Pole sana dada ila hakunaga siri ya watu 24 wamsamehee tu.
  11. social_science

    Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

    Nikiwa kijana mdogo niliend kuomba kujitolea kwenye shirika binafsi ofisa niliemkuta akanijibu "ndio utajitolea ila itaitajika upate chochote kidogo japo kwa chakula na nauli" akasema kwa sasa hayupo vizuri nijaribu kwingine. Sasa hawa ndugu zetu "kujitolea" wameichukulia kama kujitolea kweli...
Back
Top Bottom