1. Hivi ni kweli anampango wa kuomba kugombea Urais mwakani!?
2. Kama ni kweli, kwani mwenyekiti wa chama chao hana nguvu katika kupitisha mgombea?
3. Kama ana nguvu, hajui kama haiwezekani kupitishwa?
4. Kama mwenyekiti ana nguvu, wanaosema kivuli cha Membe kinamtisha wanamaanisha nini?
5. Ikitokea akaomba, wapo wana ccm wa kutosha kumpa sapoti!?
6. Ikitokea akapitia mlango wa pili, tuamini atakuwa ameamua kupoteza muda maana anafahamu michezo yao?
7. Kama hana mpango wowote wa kuomba kugombea, hizi sarakasi zinazoendelea ni za nini!?