smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,583
- 12,250
miraji ameacha kupost meme na vibonzo kule instagram?Namuona Miraj na Riz hapo pembeni
miraji ameacha kupost meme na vibonzo kule instagram?Namuona Miraj na Riz hapo pembeni
Mmoja tuHivi rais mstaafu anakuwa na walinzi wangapi? Na je JK akienda safari nje ya nchi anaogozana na hao walinzi?
Kama ndivyo unaonaje wana Lumumba tuwe tunawaita ma dr?Ni kweli na kinana amemaliza tembo wetu sana na ni tajiri.
Kuwa Mwanachama wa Ccm inapidi uwe na Phd ya Unafiki-Musiba.
Who the fvck is Mwl Kashasha?Mwl kashasha atakua anajua.
Hali si hali
Shika chako mapema
ccm hali ni mbaya mno ! lolote laweza kutokea wakati wowote
Huyu mzee anakili japo maounga ya chadema yalimtukana ila alikula nao kimyakimya
Hapo kuna machadema yanashindwa kufuata taratibu yakiambiwa wananyang'anywa yatasema ni siasa
Namuona Miraj na Riz hapo pembeni
Habari ya mujini kwa sasa ni MusibaHata Sumaye kule Madale ilianza kama hivi!
Tia maji-tia maji wazee wa CCM hawalali wanaisoma namba eehhh
Maounga hili neno ni la lugha gani?
Baada ya Audio kuvuja!
hii hapaWameanza kubatizwa kwa maji ya motooooo!
Najaribu kufikiria gharama hapo nyuma namwona mlinzi wake mmoja, nilidhani bado wastaafu wanakuwa na kikosi cha ulinzi kwa gharama za wananchi maskiniVipi unauiza ili iweje?
Huko kavunje wewe minataka zuri lenye huduma muhimuNchi hii ina ukubwa karibia hekta 95 milioni na eneo kubwa bado ni mapori... Nenda huko ujavunje pori lako kama kweli wewe ni mkulima.