Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,347
Mkoa gani? Au ndio wewe uliyepitishwa na yule tapeli wa singidaNipo kwenye hatua ya usahili,tumetoka ngazi ya mkoa now ni ngazi ya Jkt ule usahili wa mwisho ila mimi nipo kwenye kundi reserve! Ndio maana yangu ndugu