Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,272
Wazee wote hapo wamekwisha habari yao
Tatizo la wazee wetu kutupilia mbali mchakato wa katiba mpya hayo ya Msiba yatatokea sana.You can not remain hot and cold at the same time still you want to maintain credibility. Tatizo la ku maintain status quo ,kulinda mfumo wa chama kimoja kwa nguvu zote zile kutasababisha matatizo makubwa .Huko tulishatoka kwa nini tunatupilia mbali mfumo wa demokrasia?uliachwa na baba wetu wa taifa Mwalimu Nyerere?
Awakamate kabisa hao wazee awatie ndani.Kweli kabisa, na vile sasa hivi Magufuli kafanikiwa kuharibu demokrasia ina maana atakuwa hawaogopi hata hao wazee kwani hahitaji kura hata moja kuendelea kuwa madarakani, zaidi ya jeshi kumtii. Natamani hata siku hao wazee wanakutana kwenye hicho kikao cha kumjadili Musiba, amri itoke juu wasambaratishwe kwa mabomu bila kujali umri wao.
JiniHalitakuwa jambo baya ukirudi nyuma kidogo ukausome ule "Waraka" walioutoa. Inaelekea hukuusoma vizuri na kuuelewa.
Lakini kama uliuelewa kama wengine walivyouelewa, utakuwa kundi moja na hao waliouandika kwa kutotaka kuelekeza moja kwa moja lawama zinazolalamikiwa kwa mhusika mwenyewe.
CCM imejaa unafiki mwingi. Hili ndilo tatizo. Hakuna anayeweza kusimama na kuusema ukweli ulivyo moja kwa moja. Tabia hii hii imeenezwa sasa kila mahali katika jamii yetu. Imekuwa shida sana.
Hawa waliotoa 'waraka' wao waache kupindapinda wakati wanaona mambo yanaharibika.
Wanajua wazi, hao wazee nao uwezo wao kudhibiti ni mdogo sana. Jini limekwishatolewa kwenye chupa, sasa ni kupambana nalo moja kwa moja sio kurembaremba tena. Litawala liwamalize.
Njia sahihi ni kuwaendea wananchi sasa. Hawa watu wawili wana uzoefu mkubwa wa kushughulika na wananchi moja kwa moja. Hizi gheresha za kuwaendea wazee wastaafu sana sana zitaishia kufunika na kulipa Jini muda lizidi kujiimarisha zaidi.
Mwinyi hana lolote analoweza kulifanya. Mwinyi si Nyerere. Mkapa na Kikwete hawawezi chochote mbele ya Jini na hawana ushawishi mkubwa kwa wananchi kwa sababu ni sehemu ya kupatikana kwa Jini.
Una point hapa. Yawezekana walistaafu na nyaraka muhimu za chama.Hao wazee wamiliki wa waraka wametoa wapi hizo karatasi zenye nembo ya chama??
Uamsho huyo.Babaake shangazi mbona hajavaa kijani?
Kwa taarifa yako baraza halina nguvu yoyote ya kisheria dhidi ya huyo unayemuita jiwe,wao ni kutoa ushauri tu,na si mahakama.View attachment 1154180
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ana Makamu wake (Zanzibar)
Dk. Ali Moahammed Shein wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Baraza la ushauri la viongozi wastaafu wa CCM, walipokuwa wanazindua baraza hilo mjini Dodoma (24/08/2013)
Kushoto ni aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda na kulia ni aliyekuwa
katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.
IT IS NEVER GOING TO HAPPEN, LABDA WAWE WAMETUMWA NA HAO WAZEE WAPATE SABABU YA KUMPIGA PINI JIWE.
Asante JiniHalitakuwa jambo baya ukirudi nyuma kidogo ukausome ule "Waraka" walioutoa. Inaelekea hukuusoma vizuri na kuuelewa.
Lakini kama uliuelewa kama wengine walivyouelewa, utakuwa kundi moja na hao waliouandika kwa kutotaka kuelekeza moja kwa moja lawama zinazolalamikiwa kwa mhusika mwenyewe.
CCM imejaa unafiki mwingi. Hili ndilo tatizo. Hakuna anayeweza kusimama na kuusema ukweli ulivyo moja kwa moja. Tabia hii hii imeenezwa sasa kila mahali katika jamii yetu. Imekuwa shida sana.
Hawa waliotoa 'waraka' wao waache kupindapinda wakati wanaona mambo yanaharibika.
Wanajua wazi, hao wazee nao uwezo wao kudhibiti ni mdogo sana. Jini limekwishatolewa kwenye chupa, sasa ni kupambana nalo moja kwa moja sio kurembaremba tena. Litawala liwamalize.
Njia sahihi ni kuwaendea wananchi sasa. Hawa watu wawili wana uzoefu mkubwa wa kushughulika na wananchi moja kwa moja. Hizi gheresha za kuwaendea wazee wastaafu sana sana zitaishia kufunika na kulipa Jini muda lizidi kujiimarisha zaidi.
Mwinyi hana lolote analoweza kulifanya. Mwinyi si Nyerere. Mkapa na Kikwete hawawezi chochote mbele ya Jini na hawana ushawishi mkubwa kwa wananchi kwa sababu ni sehemu ya kupatikana kwa Jini.
Nimegundua anayoyasema Musiba ni kweli. Cha muhimu waangalie chanels zao ni nani anaempelekea ubuyu Musiba.Msekwa ashasema na wao wajibu mapigo hahaha..kesi ya nyani
No, akina Makamba wanataka mtu anayemtuma Musiba ndo ajadiliwe!NITASHANGAA SANA KAMA KINANA NA MAKAMBA WANATAKA HAWA WAZEE WAKAMJADILI MHUNI MMOJA ALIYEJIPA CHEO CHA UANAHARAKATI ANAYEITWA MUSIBA.
Kwa taarifa yako hili baraza ndio lilimpitisha Jiwe kwa siri mwaka mmoja kabla ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM. Likamvua madaraka mwenyekiti wa wakati huo JK, likajitwalia mamlaka ya kuwaamulia watanzania milioni 50 hatima yao.Kwa taarifa yako baraza halina nguvu yoyote ya kisheria dhidi ya huyo unayemuita jiwe,wao ni kutoa ushauri tu,na si mahakama.
Huyonunayemuita jiwe ana hiari ya kuufanyia kazi ushauri wao au la !, halazimishwi na baraza hilo.
Kajambe ulale
Alipokuwa Chadema alikuwa anapata amsha amsha nguvu zikaanza kumrudia.Lowassa aisee tumuombee
WE MDADA UPO WODI NAMBA NGAPI HAPO MILEMBE NATAKA NIJE NIKULETEE ANGALAU SABUNI YA KUOGEA NA DAWA YA MENO MAANA SI KWA UVUNDO HUU ULOUTOA‘... Ukiona mtu anakufitini Mwambie Waziwazi, ukiona anabadilika basi tambua aliteleza nawe msamehe, ukiona anaendelea tambua hakukosea amekusudia kukuharibia,
hakikisha hakuharibii ila wewe usimuharibie mengine zaid ya kuharibu lengo lake la kukuharibia...’
Mmoja wa Wazee wa Kamati hiyo ya Wazee aliwahi kutupiga somo hilo na akawa anarudia Mara kwa Mara enzi hizooooo
Mwisho wa mchakato huu wa Clinic ya kuimarisha Afya ya Siasa ndani ya Chama I’m very sure Ccm itaibuka mshindi dhidi ya Wahuni wanaojaribu kutaka kumtoa Rais kwenye Msingi wa Chama
WE MDADA UPO WODI NAMBA NGAPI HAPO MILEMBE NATAKA NIJE NIKULETEE ANGALAU SABUNI YA KUOGEA NA DAWA YA MENO MAANA SI KWA UVUNDO HUU ULOUTOA
Kama hawataki kumtaja kwenye waraka wao hao wazee watawezaje kumjua?No, akina Makamba wanataka mtu anayemtuma Musiba ndo ajadiliwe!