Askari feki aliyewahi kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria akamatwa na vifaa mbalimbali vya Jeshi

Sasa anapewaje ajira bila kupitia chuo cha polisi kwanza,mbona kipindi tuko jkt tulikua twaambiwa mishe za kukatwa mabogi kwa wale waliopitia uko wanafaham(wa kwenda TPDF,magereza,uasikali polisi,TANAPA n,k) sasa yeye kapitia jkt kwa maana ya mafunzo ya awali ya uasikali apewe ajira?kweli?
 
Miaka 23 awe ass inspector? una utani wwe huna tofaut na huyo dogo akili zinafanana
Nakumbuka wakati ule wa uchaguzi wa 2015 niliwahi kumuona kijana mdogo ana nyota moja,kuja kuuliza kwa wale asikari wenzake wakasema jamaa ameingia na elimu yake ndio maana amepewa cheo icho kwakweli sikuamini hata mimi
 
Back
Top Bottom