Recent content by SobiborVictim2014

  1. S

    Hili neno 'Mungu si Athumani'

    Nadhani anatamani kujua huyu binadamu Athumani aliyewekwa kwenye ulinganishi huu ana wasifu gani?! Mfano Ukisema Farao watu wanapata reflection, sasa huyu Athumani inakuwJe. Nadhani aliyepost kamaanisha hivyo
  2. S

    Kijue kitendo cha kibaiolojia na kikemia kinachofanya maisha yaendelee duniani

    You had a very interesting idea, lakini umekwama katika kuiwasilisha..Siasa imekuwa Mingi na Mzunguko fukifa kwenye point umekuwa mrefu. MM Mwenyewe mwanzo sijakuelewa ulipoanza na Topic Lengwa, ila Mwishoni ulipomalizia ndio nimeanza kukumanya.
  3. S

    Ghana to Send 6 Helicopters to Syria to Help Fight ISIS

    Udaku huo, kama Magazeti ya Shigongo..
  4. S

    Nimemuagiza gari kaingia mitini, zawadi Tshs milioni 2 kwa atayefanikisha kupatikana

    Ntakutafuta nikufanyie hiyo kazi Kiroho safi..Tunza Sana hizo documents za Malipo..Na viambatanishi vingine muhumu vya kukamilisha ushahidi.. Tutamdaka tu.
  5. S

    Naomba ushauri, naenda UK

    Chicken, Rice, Beef(Kama hai-sound poa sema cow meat, Goat Meat, Sheep Meet nk), Fish,Chips, Burger, Pizza, Wine, Lemon Juice, Coffee, Tea, Soda, Bila kusahau maneno kama Fried, Roasted, grilled , Hayo yangu machache kwa Upande wa Misosi. Na Usisahau kubeba Dictionary.
  6. S

    Nilichofanya leo Mlimani City

    Ndugu Pongezi sana, Ulichofanya mimi nadhani ungekifikisha Mbele zaidi. Hayo majibu aliyotoa na kupelekea kufuta picha ni suspicious tosha kwa huyo jamaa kuwafanyiwa Interrogation zaidi kwa ajili ya kupata taarifa za kiintelejensia Kama issue nzima itawafikisha kwenye Ukweli huo. Big up man...
  7. S

    Nimetoka kumuona Msela jela

    Apana chezea Mundende bamutu ya Kongo banaujua ni balaa....Hawa jamaa wangeacha kuzungukuka Mbuyu, wasitafute haki kutoka kwa hao watoto kama kweli wanajua hawakutenda kosa. Weka Ukweli hadharani waandishi wa habari wakiwa pale, Kesho yake waupakue kwenye magazeti Mchezo ujulikane. Waache...
  8. S

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ukombozi wa Fikra- Agreed 100%
Back
Top Bottom