Mitandao ya simu za mkononi inatuibia

Mitandao ya simu za mkononi inatuibia

Sijasoma comments lakini utakuwa unaongelea vodacom tu. VODA WEZI. Hamia airtel.
 
TCRA iko wizara gani? Waziri wake ni nani? Hakuna uhusiano na uchaguzi?
 
Watoa huduma wana umoja wao. Lakini sisi watumiaji wa huduma hizo kila MTU na lwake, tusipounda vyama vya kutetea maslahi yetu tutaendeleza wizi huu
haramu
Yaan tunaibiwa sana iweje haujatumia iishe mda wake? Ni wiz tuu halaf tcra iko kimyaaa shenz type
 
Kama hujajiunga namkifurushi nanhaya masmart phone zenu. Ukiweka kijivyocha chako zima data. La sivyo utaona unaibiwa daily

Uzime /usizime data acha hela uone km utaikuta

Sshv nahamia mtandao mpya kabisa wa Halotel...
 
Kuwa IT raha sana....mwaka unakatika sijui bei ya bandle
 
Back
Top Bottom