Recent content by snow snow

  1. snow snow

    Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

    hizo meli ni kijiji cha silaha
  2. snow snow

    Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku

    Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku. Mwaka jana Kim jong un alionekana akilia na kuomba msamaha mbele ya gwaride kwa kushindwa kudhibiti covid na uchumi , ilikwa tu ni ngonjera. Ni wiki mbili tangu mwaka 2021 uanze akisimama na kupungia magwaride yake yakipita na...
  3. snow snow

    Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi Wine na kumuweka chini ya ulinzi, amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu

    Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa asilimia 65 kwa 28 .nini maoni yako?
  4. snow snow

    Laizer aiomba Serikali kupeleka walimu shule aliyojenga, asema ikiwa 'English Medium' atajenga mabweni

    Sasa wewe una gugu kwani taasisi kuitwa majina ya watu imeanza leo?
  5. snow snow

    Hivi ni kweli Trump alipoteza uchaguzi?

    hata wewe ukigombea unapoteza vilevile
  6. snow snow

    Laizer aiomba Serikali kupeleka walimu shule aliyojenga, asema ikiwa 'English Medium' atajenga mabweni

    LAIZER AMEOMBA SERIKALI KUPELEKA WALIMU SHULE ALIYOJENGA Baada ya Bilionea Saniniu Laizer kukamilisha ujenzi wa Shule aliyoijenga kwa pesa zake na kugharimu milioni 466 ili kusaidia Jamii inayomzunguka, Laizer ameomba Serikali kupeleka Walimu katika shule hiyo ili ifunguliwe. =======...
  7. snow snow

    Chama cha Democratic kimepata ushindi muhimu katika duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya Baraza la Seneti katika jimbo la Georgia kwa kunyakua

    Chama cha Democratic kimepata ushindi muhimu katika duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya Baraza la Seneti katika jimbo la Georgia kwa kunyakua kiti kimoja na kuongoza katika kiti cha pili ambacho matokeo yake hayajatangazwa bado. Ushindi huo kutokana na matokeo ya awali unakaribia...
  8. snow snow

    CAF Champions League: Simba yatinga hatua ya makundi

    Simba SC 4-0 FC Platinum (4-1 agg): Wekundu wa Msimbazi through to Caf Champions League
  9. snow snow

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Nimesoma hivi vitabu ni ukweli mtupu tungekuwa mbali sana source (chanzo) *"Bibi Titi and the Treason Trial of 1970," in The East African, Nairobi, Kenya, 10–16 November 1999 *Godfrey Mwakikagile, chapter 13, "Coup Attempts Against President Julius Nyerere. *Wikipedia
  10. snow snow

    Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

    we nawe expert kubwa jinga
Back
Top Bottom