Hapa ndio tunapokosea kisema wajifunze...kwani wanajifunza kwa kuangalia....wachezaji wanaandaliwa sie ndio tunapokoseaKwa kweli ni furaha kwa mashabiki wa simba sc na nchi kwa ujumla.....ila kusema kweli jamani ile penalti ya nyoni au lile goli la kwanza kama huna uzoefu unaweza kukosa kwa presha hata kama ni hodari wa kupiga penati...bwalya leo kacheza sana ila cha muhimu ni kuwa tena kwa herufi kubwa kabisa WACHEZAJI WAZAWA HASAHASA VIUNGO NA WASHAMBULIAJI WANATAKIWA WAJIFUNZE KUTOKA KWA HAWA WACHEZAJI WA KIGENI MFANO KAMA HAWA WA SIMBA.......