Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

Mshahara wa diploma ya IT ni TGS ngapi?

mimi nipo kwenye moja ya hizo taasisi, narudia tena acha kujaza watu ujinga.
Ww ndio unajaza watu ujinga! Alichosema jamaa ni sahihi kbsa na ungekua kwel kwnye moja ya taasisi hizo usingesema jamaa anajaza watu ujinga!
 
wewe haupo kwenye taasisi yoyote kati ya nilizozitaja unachotafuta in justification, hata Mimi naweza Sena nipo taasisi Fulani kusema no rahisi
Ni muongo sema jf wajuaji wengi! Mm nna two best friends wanfnya kazi tpdc na wana diploma wanlipwa mshahara 1+ na walipoajiriwa tu walienda training china wakalipwa 10+
 
Ww ndio unajaza watu ujinga! Alichosema jamaa ni sahihi kbsa na ungekua kwel kwnye moja ya taasisi hizo usingesema jamaa anajaza watu ujinga!
nimem pm salary slip kama atakua na busara atarudi hapa aongee ukweli sasa
 
Ameuliza mshahala wa serikali kuu, ila alicho jibiwa ni mihemko dah,

Mishahala ya JPM inajulikana na NGO's inajulikana iko juu kuendana na maisha
 
nimekutumia slip ili uache ku spread missinformation
salary slip haionyeshi ww ni mtumishi wa kada gani, secretary, diploma, degree,dereva,nk hivyo haitoshi kusupport argument yako.
 
ni kweli sio wafanyakazi wote but waliopo transmissions ni maradufu na ni kwa ajili ya safari

Hawa jamaa wanajionaga ni wana Ki SUB Shirika chao maana kwa Mwezi Night za 2m ni kawaida tu nachoshangaaga wana maisha ya kawaida sijui wanafanyiaga nini hizi hela asee.
 
Watu wanashindwa kutofautisha hivi vitu
1.BASIC PAY.
2.GROSS PAY.
3.NET PAY/TAKE HOME.

Unawe ukawa na Basic Pay kubwa ila Take home ikawa ndogo uki compare watu wa Taasisi mbili Tofauti ambaye mmoja ana Basic Pay ndogo Mwingine kubwa.

Iko hivi kinacholeta Gape kati ya Taasisi na Taasisi ni (Allowances na Overtime) na Kumbuka (Allowance na Overtime) haziko subject na Tax zinaingia kama zilivyo(For Government lakini).

Mfano
Mtu A Taasisi X
1.Basic pay 1M(5% PSSSF)
INAYOBAKI inapigwa PAYE-(TUCTA/TUICO+NHIF) Hizo Ni Statutory Contribution.
2.House allowance 100k
3.Transport Allowance 100k
4.Overtime (**)hrs 600k
5.Bima analipiwa na Taasisi (NHIF) hivyo ile ulokatwa inakuwa refunded.

Take home/Net pay lazima iwe kubwa.
Mtu B Taasisi Y
1.Basic Pay 1.4M(5% PSSSF)
INAYOBAKI inapigwa PAYE-(TUCTA/TUICO+NHIF)
No allowance
No overtime allowed

Take home/Net pay lazima iwe ndogo.

Hapo ndipo gape linapoanzia kutoka Taasisi moja hadi nyingine.

La mwisho kabisa ukitaka kuingiza kipato kikubwa Ni kufanya tu Miradi yako maana huko ndiko utajipangia kiasi gani ujilipe ila huku tunajipa moyo tu na kuganga njaa.
 
Hawa jamaa wanajionaga ni wana Ki SUB Shirika chao maana kwa Mwezi Night za 2m ni kawaida tu nachoshangaaga wana maisha ya kawaida sijui wanafanyiaga nini hizi hela asee.
hata mimi huwa nashangaa
 
Back
Top Bottom