Weka milango ya kuingilia ndani tuu yaani wa mbele na nyuma then ingia. Taratiiibu ukipata pesa utaweka ya vyumbani wkt huo umeweka hata mapazia tuu. Kikubwa upo kwako mzee.
na nyuma k
Polisi wapo kwa ajili ya kulinda maslahi binafsi ya Wanasiasa na Mali zao.....alafu unataka hao hao Wanasiasa wawachunguze polisi? 🤔🤔🤔 HILO LITAWEZEKANA ITAKAPOBADILISHWA KATIBA TOFAUTI NA HAPO HAKUNA HICHO KITU.
Ishi na option no.1 & 2 na hakikisha Jamaa anajua umemkula mkewe na obviously atamwambia MKE wako. Mkeo akikuuliza mwambie ukweli kwann umefanya hivyo na yupo huru kuondoka maana humuamini na mapenzi uliyokuwa nayo kwake hayapo kwasasa zaidi utalea tuu watoto wako......OVER! Maana Bora HAYO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.