Recent content by smsnzurizamapenzi

  1. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Njoo kwangu. Nitakusaidia kumsahau
  2. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata mtaji wa biashara

    Kweli.
  3. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

    Bora umejua mapema achana nae usije yakawa makubwa zaidi ya hapo Umefikia hatua nzuri katika maisha kuwajua wanawake jinsi walivyo
  4. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani cha kusoma baada ya Forex Bible na Candlestick Bible?

    For telegram user Anayehitaji kujifunza *forex basic *advanced course,candlestic pattern and pysology behind its formation *Supply and demand strategy ajoin telegram chanel [emoji1427] https://t.me/forextanzania
  5. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka

    Edward Christopher wa simba
  6. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2020?

    Una soft copy ta hivi vitabu
  7. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuikacha Bank ABC nitimkie Equity bank, ushauri wenu wadau

    Online transactions kwa ajili ya forex or?
  8. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kubeti ni mchezo wa bahat nasibu sio biashara
  9. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Vijana walio wengi kushindwa maisha ya kujitegemea tatizo ni nini?

    Hapo ndo kwetu nitoke niende wapi. Tena ikiwezekana naweza kuwafukuza wazazi kabsa nao waende kwao.
  10. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nimeweka akiba imefika milion 1.2 Naomba ushauri biashara ya kufanya ambayo itaniingizia japo faida ya elfu 10 kwa siku.
  11. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Christopha Njako, Tajiri wa mahindi akamatwa kwa utakatishaji fedha

    Soma tena habari utaona kosa lake
  12. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuishi bila wewe

    Siwezi kuishi bila wewe sasa.sioni dhumuni la kuishi kwangu bila wewe. Ikiwa nitatenganushwa na wewe nitakuwa nimetenganishwa na nafsi yangu mwenyewe. Kwa sababu wewe ndiye furaha yangu na maumivu yangu. Ninaishi siku yang kwaajili yako tu ninajitolea Muda wangu wote kwaajili yako. Sitaki...
  13. smsnzurizamapenzi

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kama maua huchanua na kupukutika. Hata mapenzi ndivo yalivyo

    Maisha ni kama maua huchanua na kupukutika. Hata mapenzi ndivo yalivyo
Back
Top Bottom