Recent content by Smith Rowe

  1. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa kwa Umeme na Intaneti, Askari Kumwaga Barabarani Nchi Nzima Siku ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu?

    Unasema haukumiwi halafu hapohapo unasema kama atahukumiwa? Unakuwa kama ccm bana
  2. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    Pole manager ushapigwa
  3. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

    Kwamba serekali ya mtaa haioni uhitaji wa ujenzi wa barabara vikindu paka wananchi tuende? Na serekali ya mtaa si wananchi wenzetu tunaoishi nao huku mtaani
  4. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Saa 6 mchana kinachoendelea mahakama kuu ya Dar es Salaam muda huu

    Alisema atajitetea mwenyewe na sio kwamba hana wakili
  5. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu PSL god mnamuelewa ?

    Yani unakaa chini unaandika nyuzi kulalamika kisa dislike? Daah kuna watu wanashida sana
  6. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Baada ya dilema ya muda mrefu sasa yametimia nilichokuwa nakiwaza kimetokea nini kinafuata sijui

    Unaweza kuwa unaacha sehemu ya kutengeneza 2m hadi 3m kwa mwezi unakimbilia 720k
  7. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS inakuaga wapi?

    Kuuzwa laki mbili sio kigezo cha kuwa feki
  8. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kupigwa vibaya kisa 1500 ya mchango, walimu wa kujitolea

    We uko sawa kweli, mtoto apigwe kisa amekosa hela ya kumchangia mtu aliyekosa ajira? Huyo mtoto anafanya kazi gani
  9. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha na kufanikiwa katika biashara ya Vifungashio Tanzania

    Utapata vipi wateja kama unatumia AI bila kuweka akili yako? Unazijua chupa za plastic PET?
  10. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Mwisho utaambiwa nyie ni watu wawili tofauti wanafanana majina.
  11. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Ni credit kwa taifa kivipi
  12. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    HUyu Britanicca amekuwa mtabiri chambichambi
Back
Top Bottom