denisi_masoko
Senior Member
- Aug 15, 2016
- 179
- 150
- Thread starter
- #21
Anaekupangia nani wakati ni kwakoHela nyingi na huna amani na nyumba yako, unaanza kupangiwa
Anaekupangia nani wakati ni kwakoHela nyingi na huna amani na nyumba yako, unaanza kupangiwa
Kanunue harafu upangishe dola 100 kwa siku uone kama utapata wateja250m magomeni Una nyumba nzima.
Mambo ya zima moto na kununua nyumba wap na wap mzee au ndio stress za maisha?Hapa kwetu kuna shida ya maji, hatuna vifaa vya zimamoto vya kuweza kuzima moto kwenye hayo maghorofa marefu moto ukitokea!! Jamaa wanataka kutakatisha fedha zao tu ; mradi kama huu na hizo terms na suitability yake is not only unsuitable for Tanzania but also not feasible.
Masagala ndio jina lako😂 Na dp yako umeweka kuku. Inatosha kujua tuna watanzania wa aina kama hii na wako wengi sana.Ni mjinga tu atakae nunua chumba kimoja kwa hicho kiasi yaani million 250 ni upungufu wa akili.
Yan hizo 👆 apartments MTU akinunua anaweza akafanyia baishara ?, mnataka hapo pawe kama karikakoo .Hizi apartments mtu akinunua anazifanyia biashara kwa sabb eneo uliopo mradi ni la kibiashara, standard ya mradi kibiashara zaid ndio maana unaona aminities zilizopo ni za kuvutia wageni watakapokuja kulala kwenye hizo apartments wapate kila kitu, one bedrooms unapangisha dola 100 kwa siku moja, kwa mwez una bei gani? Kama kwa mwezi unatengeza dola 2500 mpaka 3000 unashindwa kulipia 54dola kwaajili ya kuendelea kusupport vitu vinavyovutia wateja wako waendelee kulala hapo ili ww upige hela zaidi? Acha kucomment vitu nonsense ni muhimu kuuliza jambo kuliko kuropoka na kunifukizia wateja kwenye post zangu. Kama huelewi jambo bora uniulize maana namba yangu ipo hapo kila mtu anaiona, au kama Huna cha kuongea kaa kimya. Nimepost hili tangazo sio la kuchangia mada, sio topic hiyo ni Tangazo la kibiashara. Kama unaweza kuja site kununua nipigie simu kama Huna hela pita kama unapita maiti ya mtu usiemjua. Mimi mpaka sasa nimeuza zaid ya unit 5 mpaka sasa kweny huu mradi commission niliyoipata nikikuambia unaweza kuzimia, so nimepost hapa kuna watu nimewatarget sio watoa comment
Huna unachokijua tulia upewe maelekezo.Yan hizo 👆 apartments MTU akinunua anaweza akafanyia baishara ?, mnataka hapo pawe kama karikakoo .
Hayo ni makazi ya kuishi familia na kama kutakuwa na maduka ni machache Kwa ajili ya kutoa huduma kwa wanaishi humo
Sawa dalaliHuna unachokijua tulia upewe maelekezo.
Ndio kazi yangu hiyo naiheshimu sana kupata dola 4000 kila mwezi unazani mchezo mjomba. Itafute kama unaona ni rahisi, na kesho nafunga deal la dola 500k nina uhakika wa nina uhakika wa kupata dola 7000 tena.Sawa dalali
Mambo ya zima moto na kununua nyumba wap na wap mzee au ndio stress za maisha?
One bedroom ni chumba, secure,jiko,public toilet na balcony yako. Nimekutumia picha hapo chini iangalie muundo wake.Mi naombeni mnipe elimu kidogo kuna vitu vimenipita,mnaposema 1 bedroom manake ni chumba na sebule au ni chumba kimoja tu? Yaani geto.
Nitafute hela halafu nijibane? Ungebaki nayo huko kama hukutaka watu washangae kitu cha kushangaza 😏Tafuta hela babu, Bank unaweza kuongea na simu na huduma ya choo inapatikana. Stress zako za maisha yako baki nazo ww. Nilichokipost sio topic kwamba unagakiwa unatakiwa changing mada. Hilo ni Tangazo la biashara kama unaweza khnunua nipigie simu nikutumie location uje ofisini na site yetu, either ulipie au uachane nayo.
Huo ni umasikini wako unakusumbua kenge ww, kwahiyo watu wasijenge majengo marefu kisa ww unafikilia zimamoto. Kwanza hela Huna ya kukaa gorofa ya 15 au 17 wenye hela wanalipia huku😂 unaleta stress zako za maisha kwenye biashara na maisha ya watu😂😂😂 utakufa masking hivyo hivyo😂Hayo ndio mambo ya kufikiria kabla ya kucommit funds zako kwenye investment yeyote!! Those are the risk factors you should consider wewe bwege!! Ukinunua flat ghorofa ya kumi na tano halafu moto ukatokea na huku lift hazifanyi Kazi kwasababu ya umeme kukatika, utashuka na UNGO?
Kama apartments ni kitu cha kukushangaza na kukuchekesha kwenye maisha yako, Bac niseme tu una safari ndefu sana kwenye maisha yako. Tafuta michongo ufanye upate hela nyingi. Kwenye huu mradi watu wananunua floor mbili zenye thamani 3m dola ww unashangaa 94000. Tafuta kazi ufanye aua kama Huna mchongo namba yangu ipo hapo nipigie njoo ofisini niletee mteja ntakupa dola 3000 kila mteja.Nitafute hela halafu nijibane? Ungebaki nayo huko kama hukutaka watu washangae kitu cha kushangaza 😏
Tafuta mwenyewe wateja halafu ujilipe hiyo $3000.Huo ni umasikini wako unakusumbua kenge ww, kwahiyo watu wasijenge majengo marefu kisa ww unafikilia zimamoto. Kwanza hela Huna ya kukaa gorofa ya 15 au 17 wenye hela wanalipia huku😂 unaleta stress zako za maisha kwenye biashara na maisha ya watu😂😂😂 utakufa masking hivyo hivyo😂
Kama apartments ni kitu cha kukushangaza na kukuchekesha kwenye maisha yako, Bac niseme tu una safari ndefu sana kwenye maisha yako. Tafuta michongo ufanye upate hela nyingi. Kwenye huu mradi watu wananunua floor mbili zenye thamani 3m dola ww unashangaa 94000. Tafuta kazi ufanye aua kama Huna mchongo namba yangu ipo hapo nipigie njoo ofisini niletee mteja ntakupa dola 3000 kila mteja.
Wenye hiyo biashara wamechemsha mtu wa marketingUnaonekana una maisha magumu sana jinsi unavyojibu comment za watu.
Hiyo sio mada kwamba ni ya kuchangia au utoe comment kenge ww, hiyo ni biashara ya mtu imepostiwa mwenye lengo la kununua apige simu aje site aangalie mradi anunue. Unapokuja na comment zako uchwara ninachokifanya naruka na ww walahi sikuachi nakupasua vzr tu kenge ww. Una hela nunua kama Huna nenda kaishi mabonde kuinama huko😂 au kama vip nenda kijijini kwenu huko usisumbue watu, ukikaa Dar unatakiwa uwe mpambanaji wa kutafuta michongo upate hela uishi vzr. Wenzenu wanapamba kutafuta fursa wapate hela mnakuja na comment zenu uchwara hapa. Mi nawamudu hamnisumbui na hela napata. Kwenye hii post nimepata mteja wa one bedroom kalipa leo 30% mi ganji langu 5mil ww unacomment uchwara unazani ntakuacha😂😂 sahau hiloUnaonekana una maisha magumu sana jinsi unavyojibu comment za watu.
Wenye hiyo biashara wamechemsha mtu wa
Mtafute kamwambie uone atakavyokutukana😂😂😂 Tangia mwezi wa 8 mwaka jana nimeuza property zaid ya 7 zenye thamani ya 2mil dola sasa zidisha kwa hela yako ya madafu😂 harafu ukimaliza tafuta 2% ya hiyo hela ndio mpunga niotengeneza ndani ya miezi 7 na deal lingine nimeclose leo la dola 94000 dola, saiz nipo nakunywa bia Kitambaa cheape nakutukana ww kenge maji😂😂😂😂Wenye hiyo biashara wamechemsha mtu wa marketing
Tafuta kazi ufanye upate hela nzuri, ukizeeka utakuja kuwapa lawama wanao, wenzio wanatafuta connection na michongo wapate mpunga mzuri waishi vzr wasomeshe watoto wao vzr ww unashinda kucomment usenge kwenye post za hela nyingi. Uzee unakuja pambana mpuuzi wwMtafute kamwambie uone atakavyokutukana😂😂😂 Tangia mwezi wa 8 mwaka jana nimeuza property zaid ya 7 zenye thamani ya 2mil dola sasa zidisha kwa hela yako ya madafu😂 harafu ukimaliza tafuta 2% ya hiyo hela ndio mpunga niotengeneza ndani ya miezi 7 na deal lingine nimeclose leo la dola 94000 dola, saiz nipo nakunywa bia Kitambaa cheape nakutukana ww kenge maji😂😂😂😂