Recent content by SMIGO

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, pombe itaniua kijana mdogo

    Usipokunywa ndoto na kukabwa usiku. That's not a normal things. Raha ya shetani akuone unateseka. Akutese kwa pombe na usipokunywa akutese pia. Mpokee Yesu Kristo ndani ya moyo wako na kuwa karibu zaidi na Mungu atakuokoa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa breakthrough!

    Asante kwa ushuhuda, Mwenyezi Mungu akubariki kwa kushuhudia matendo makuu aliyokutendea, kushukuru ni kuomba tena, watakaobadilika kupitia uzi huu utapata baraka nyingi mno. Nami naungana nawe, atakayekubali akubali, atakaye neglect aneglect, mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    Mods hii ipelekwe kwenye majukwaa ya michezo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni dalili ya uchawi au kawaida?

    Tena ukiiendeza utakuwa mshirikina maana utawaendea kwa waganga wote wenye mafanikio. Jitambue mapema mrudie Mungu wako omba toba na jitakase uwe safi. Mungu ni mwingi wa Rehema atakusaidia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Kuhusu nyangumi na viunbe wengine wa baharini wanaweza kuhimilili maji kwa uwezo mkubwa. Vilevile safina ilikiwa kubwa, yenye partition za kutosha. Kila kiumbe alikaa sehemu anayostahili na wenye lifespan ndogo walikuwa wanendelea kuzaliana. Mungu siyo binadamu, Mungu siyo mtu, ukitafakari...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini NMB tu itumike kulipia maduhuli ya TRA?

    Control number unalipia hata kwa simu yako. Kama hujapewa control number basi umepigwa kweupe
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dar, nina Diploma ya Procurement

    Dah! Nimecheka ila ndo jambo la msingi sana aisee
  8. S

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu maporomoko ya maji Kalambo falls Sumbawanga

    Nchi inaliwa na wachache, tukila wote tutamaliza mapema acha wale wakishiba watubebe
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa selection za leo

    Kwani wakitoa tunaangaliaje?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Yaani umecema kile nilichokua nafikiria
  11. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kutikisa Mkoani Kigoma leo, Kuhutubia Kibondo na Kasulu

    Baba, 2natoa kafara, hujui?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Machali, Arfi kugombea ubunge kwa ACT-Wazalendo

    vyote hvyo CDM Ina2mia wakiwa Rombo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Machali, Arfi kugombea ubunge kwa ACT-Wazalendo

    5.John Mnyika 6.Godbless Lemah
  14. S

    JamiiForums Tanzania Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    Wadau msidanganyike, hzo picha c za mkutno wa ACT Arusha, mtoa post aripotiwe kwa uongo
  15. S

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo waambulia watu watano kwenye mkutano Muheza

    ona UKAWA walivyo waongo, mkiingia ikulu c mta2maliza kabisa! wanaACT, TIMU YA ACT muheza Ilijaza kama kawaida, Moto wa pumba hauzimikag jombaa, uongo nao dhambi kijana!
Back
Top Bottom