Dah! Nimecheka ila ndo jambo la msingi sana aisee
kama hujaelewa alichoongea bas ongeza umakiniKwanini
Kwanini
Kuna wahuni wanajua kweli kuserereka na desperate girls.Dah! Nimecheka ila ndo jambo la msingi sana aisee
Ndani ys 24 hours tuu biashara inakuwa imekwisha.
Ukweli mchungu huu mkuu
Na atachakazwa kweli si masiharaHizo ulizokataa ndio rahisi kupata! Sasa unataka uje dar Kodi ya pango unayo na hela ya kujikimu wakati unangoja hio kazi?
Bila hivyo jiandae kuchakazwa mbususu hio ili upate kuishi!
Tatizo unajibu jeuriJamani Bado sijapata kazi
Bandiko hata siku haijaisha kuwa mvumilivuJamani Bado sijapata kazi
Unaishi mwanza sehemu gani mbona kazi zipo huku huku mwanza sio lazima kwenda dar kweny majotoJamani Mimi ninaishi mkoani ,elimu yangu ni diploma ya procurement lakini sina kazi , Mimi ni binti wa miaka 24 , ninaishi mwanza na wazazi wangu lakin kama mnavyojua kuishi hom ni Jambo gumu sana , natamani niende dar angalau kuanza na mim maisha yangu lakini sina hata mtaji ,naombeni kazi yoyote ile inayowezekan kufanya kwa mtoto wa kike ,isiwe ya ndani wala mama ntilie th, nisaidien mdogo wenu kwa hata mwenye connection ,