nimebadika juzi
Senior Member
- May 29, 2015
- 183
- 29
Chadema inakufa kwa kasi sana,mwisho wa siku itabakia uchagani tu
we umevurugwa cdm aiwezi ikafa kama umepg viroba kafie mbele
Chadema inakufa kwa kasi sana,mwisho wa siku itabakia uchagani tu
Zitto kabla ya kuzungumza lazima avute ugoro kidogo! kwa hiyo mimi simshangai sana napia nawaoneeni huruma nyie mnao poteza muda wenu mwingi kumsikiliza kilaza kama zitto.
Carton barlet katika ubora wakeKwahiyo Zitto siyo mwanasiasa ndio maana unamwamini? Tutusa kweli wewe.
Kwani bange ni kali? Ila yale macho nadhani kuna majani makali anatumia.Hivi Zito huwa anatumia yale majani makali ? huchelewi kusikia hao watu kesho wanakanusha kwa nguvu zote
Kwani bange ni kali? Ila yale macho nadhani kuna majani makali anatumia.
acha uharo wako huo namsipende sana kunywa viroba vilivyo expire date..........................