Ushauri wenu, pombe itaniua kijana mdogo

Nilishawahi kuwaga mlevi nalewa kila siku nikipata pesa yote namalizia kwenye mitungi kula sili nikashiba nikaona ntakufa Sasa!
Nikajikatia shauri Kama kuacha siwezi Ni heri nipunguze,nikawa nakunywa Mara moja kwa wiki Tena nanunua nakuja nazo geto afya ikarudi naamini huko nakoelekea naenda kuacha kwa msaada wangu mwenyewe bila wanasaikolojia,wachungaji,waganga nk
Naamini naweza
Hadi msaada wa waganga..!!!
 
Habarini humu wakuu

Nambeni ushauli kwa mazingira ninayopitia mdogo wenu wakuu

[emoji115] Mimi nikijana mdogo kabisa miaka 22 tangu nilipomaliza sec. nilianza kujitafutia maisha mwenyew namshukuru mungu alinibariki sana nikawa nipo vizur kwenye maisha kiuchumi, kufika mpaka miaka nikawa namiliki pikipik nyingi tu nikafanikiwa kununua kiwanja, mwaka jana nikannua nagari usafiri wangu.

Hapo niliponunua gari ndipo maisha yakaanza kuchange mimi nikawa mtu wa kulewa muda wote sio usiku sio mchana wala asubuhi, nikienda bar kama nina laki namaliza yote, uchimi wangu kwasasa unaenda kupotea kila ck lazima ninywe kila ck napoteza zaidi ya laki nanusu bar, ni mwaka sasa umepita kwa mwezi napoteza zaidi mil. 2 nazaidi kwenye pombe

Naombeni ushauli ndugu zangu, usiku nikilala bila kunywa silali hayo mateso ninayopata, mandoto ya ajabu kukabwa usiku pia nikinywa usiku nikishtuka pombe zimeisha huwa najilaumu sana kwann nafanya mambo hayo Hadi nahisi kujiuwa, lakini nikiamka tuh asubuhi kila kitu nimesahau naamkia kwenye mipombe.

Naombeni mawazo yenu wakubwa zangu, nimeyachoka haya maisha
Ni uamuzi tuu. Amua kuacha. Anza kufanya mazoezi. Badii marafiki, hao wa bar achana nai
 
Umeacha au bado?
daah umenifuata Hadi huku haya nipo [emoji116]
IMG_20220204_223731_100.jpg
 
Usipokunywa ndoto na kukabwa usiku. That's not a normal things. Raha ya shetani akuone unateseka. Akutese kwa pombe na usipokunywa akutese pia. Mpokee Yesu Kristo ndani ya moyo wako na kuwa karibu zaidi na Mungu atakuokoa.
 
Sali Sana utoe sadaka..badili marafiki na vijiwe....

Acha sifa na ulimbukeni kujiona milionea..

Kaa ukjitathmini pia pengine ushatwishwa Jini pombe...
 
Habarini humu wakuu

Nambeni ushauli kwa mazingira ninayopitia mdogo wenu wakuu

[emoji115] Mimi nikijana mdogo kabisa miaka 22 tangu nilipomaliza sec. nilianza kujitafutia maisha mwenyew namshukuru mungu alinibariki sana nikawa nipo vizur kwenye maisha kiuchumi, kufika mpaka miaka nikawa namiliki pikipik nyingi tu nikafanikiwa kununua kiwanja, mwaka jana nikannua nagari usafiri wangu.

Hapo niliponunua gari ndipo maisha yakaanza kuchange mimi nikawa mtu wa kulewa muda wote sio usiku sio mchana wala asubuhi, nikienda bar kama nina laki namaliza yote, uchimi wangu kwasasa unaenda kupotea kila ck lazima ninywe kila ck napoteza zaidi ya laki nanusu bar, ni mwaka sasa umepita kwa mwezi napoteza zaidi mil. 2 nazaidi kwenye pombe

Naombeni ushauli ndugu zangu, usiku nikilala bila kunywa silali hayo mateso ninayopata, mandoto ya ajabu kukabwa usiku pia nikinywa usiku nikishtuka pombe zimeisha huwa najilaumu sana kwann nafanya mambo hayo Hadi nahisi kujiuwa, lakini nikiamka tuh asubuhi kila kitu nimesahau naamkia kwenye mipombe.

Naombeni mawazo yenu wakubwa zangu, nimeyachoka haya maisha
Mpaka uvunjiwe mayai ndio utaacha kabisa kwenda kulewa
 
mwagilia moyo weweeee!!!
 
Ila pombe.....Mmmmh! Ngoja ninyamaze tu [emoji45][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna AA(Alcohol anonymous) Groups siku hizi, mnakutana jioni mna shaurina na mwalimu mpaka una acha. Dar zipo na mikoani pia.
 
Mmmh huu mwandiko mbona kama mtu ambae hana hata senti[emoji849][emoji849][emoji849]
Mimi mwenyewe kama nikiwa nimefuria nakuwa na busara na kujutia sana ishu za pombe. Mambo yakikaa sawa nakuwa kama huyu
JamiiForums1570628145.jpg
 
Ila pombe.....Mmmmh! Ngoja ninyamaze tu [emoji45][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanadhani kuacha pombe ni rahisi kama kuomba unpaid leave ofisin . Pombe pombe pombe mbope, mpaka jina lako mara ya mwisho nimelikosea.
 
Habarini humu wakuu

Nambeni ushauli kwa mazingira ninayopitia mdogo wenu wakuu

[emoji115] Mimi nikijana mdogo kabisa miaka 22 tangu nilipomaliza sec. nilianza kujitafutia maisha mwenyew namshukuru mungu alinibariki sana nikawa nipo vizur kwenye maisha kiuchumi, kufika mpaka miaka nikawa namiliki pikipik nyingi tu nikafanikiwa kununua kiwanja, mwaka jana nikannua nagari usafiri wangu.

Hapo niliponunua gari ndipo maisha yakaanza kuchange mimi nikawa mtu wa kulewa muda wote sio usiku sio mchana wala asubuhi, nikienda bar kama nina laki namaliza yote, uchimi wangu kwasasa unaenda kupotea kila ck lazima ninywe kila ck napoteza zaidi ya laki nanusu bar, ni mwaka sasa umepita kwa mwezi napoteza zaidi mil. 2 nazaidi kwenye pombe

Naombeni ushauli ndugu zangu, usiku nikilala bila kunywa silali hayo mateso ninayopata, mandoto ya ajabu kukabwa usiku pia nikinywa usiku nikishtuka pombe zimeisha huwa najilaumu sana kwann nafanya mambo hayo Hadi nahisi kujiuwa, lakini nikiamka tuh asubuhi kila kitu nimesahau naamkia kwenye mipombe.

Naombeni mawazo yenu wakubwa zangu, nimeyachoka haya maisha
Inaelekea kama unachezewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom