Recent content by smallvile

  1. smallvile

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

    I loved UDSM MABIBO Unatumia akili zako lakini usifuate mkumbo
  2. smallvile

    JamiiForums Tanzania Moshi, Kilimanjaro: Mtoto wa miaka nane ameuawa na mama yake wa kambo

    Mbona kama ni story ya kitambo au matukio yanajirudia
  3. smallvile

    JamiiForums Tanzania Manyonyo kuwasha sana usiku

    Unatumia uzazi wa mpango? Angalia bra unazovaa zonabana sana au unatumia any tight in Una allergy yoyote unayoifahamu katika mwili wako (pumu ya mapafu au ya ngozi, kutokwa na vipele vingi ukinyoa, kuwashwa sana Kwa kitu kidogo tofauti na wengine) Umebadili mavazi au aina ya mafuta cream lotion...
  4. smallvile

    JamiiForums Tanzania What's your favorite Movie Line or Quote?

    I am the commandment of God, if you have not committed a great sin God wouldn't have send one like me
  5. smallvile

    JamiiForums Tanzania Nape mdogo wangu nakushauri anzisha chama chako

    Kwani lazima awe mwanasiasa? Siasa is not everything unless hi is everything to siasa
  6. smallvile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana

    Unapotoa wasifu wao unasema kwamba ni wazuri INA maana unawajua Kwa sura au wameweka dp zao za uhalisia,, kuhusu wasifu wa uchangiaji humu ndani sina swali
  7. smallvile

    JamiiForums Tanzania Serikali ilivyomuachia huru mwanaume aliyekiri kumbaka mtoto wa miaka miwili

    Utamu wa ngoma uingie ucheze
  8. smallvile

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Kilichobaki tabiri siku yako ya kufa nadhani hiyo hutamwambia yeyote Kuhusu kutokua na hisia hao watoto ulionao wa kubambikiziwa au???
  9. smallvile

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Hilo ndo LA msingi inarange 30 mpaka 50 inawezekana kachukua ya Maji ila don't care nachojua hiyo ni dawa nzuri na ndio iliyopendekezwa evidence based kuwasaidia kina mama kuanza uchungu kama amefika miezi Tisa na Haina madhara Kwa mama na Mtoto tumwombee Afya njema ya uzazi
  10. smallvile

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Nashukuru kama unafahamu sasa ongeza na ethics zako utagundua hicho kinachofanyika tunatumia ignorance ya tunaowahudumia so hatutumii uzoefu kwamba hospital zinatumia Basi Hata kwenye mitandaoni tuandike
  11. smallvile

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Nikupe ushauri wa bure najua una elimu ya level Fulani naheshimu hilo Misoprostal haijaidhinishwa wala kuruhusiwa na wizara ya Afya ya Tanzania Kwa matumizi hayo so saying ukitumia ikimletea madhara Mgonjwa wizara INA uwezo wa kukusimamisha kazi Misopr imeidhinishwa wa management ya PPH PEKEE...
  12. smallvile

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada mahali ninakoweza kuipata hii dawa DINOPROSTONE 3MG. ni muhimu mno!

    Haya ndo yanatokea pale unapoomba ushauri kwa mitandao ushauri kwenu Mgonjwa mjamzito kukaa hospital siku Tatu tano bila kujifungua uchungu wa kweli ni kawaida Hospital nyingi za Tanzania hazina sawa za aina nyingi Tunatakiwa kuelewa majukumu ya kazi ya Dr na muuguzi Kuna tatizo LA kupata...
  13. smallvile

    JamiiForums Tanzania SALA,U KWA TUNDU LISU

    Wacha kutoa povu Ndugu aliyekua harusini hahitaji mwaliko Kwa hiyo imekuumiza Kwa vina vya shairi Mungu Mpangaji
  14. smallvile

    JamiiForums Tanzania HIzi chuki za wana CCM kwa Lissu zinasababishwa na nini?

    Wenye Haki mbele za Mungu duniani wanauwawa unajua Hata katika historia ya maandiko @Yesu maandiko ya dunia Gadafi waliosema ukweli na kiwapatia mafanikio positive wote walilipia Haki Kwa damu zao
  15. smallvile

    JamiiForums Tanzania Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Unajua Hata katika maandiko kulikuwako na mgawanyo wa watu enzi za Yesu hawakuchangamana ila wale walioguswa na Mungu Samaria na wayahudi inwezekana kabisa Nyalandu ana mguso positive Nafsi iponyayo ndiyo itakayoishi
Back
Top Bottom