Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

Usiende mabibo utakuja kujuta nisikilize mimi.

Iko siku utakua na kipindi cha asubuhi saa moja na shuttle zinakua shida hapo utapata usumbufu sana, kingine ukichelewa kutoka class labda pindi la saa mbili unafika mabibo too late na umechoka sana.

Na kuna ule msimu boom linakata utapata shida kwenda hostel kwa mguu(tuliita shuttle pori kipindi chetu)

Alafu mabibo sijawahi kuipenda maana hakuna utulivu wala mazingira ya kujisomea.

Kaa zako hapo hapo hostel mpya au fanya mishe uende campus kama ukipata hall 6 utafurahi sana maana ni pasafu kuliko halls zingine (kama wewe ni Male).
wewe jamaa hujui kitu labda mabibo gani sijui unazungumzia....udsm Nzimaa Hakuna Hostel imekaa poaa kama udsm
 
Hueleweki unasema nini sijui.

Alafu sio lazima tufanane mawazo.
Kama mabibo kuzuri kivyako, kwangu mimi mabibo hovyo sana kiufupi sipendi kelele wala msongamano ndio maana sikuwahi kuipenda.

Kama unaipenda wewe sio kesi, jenga hoja mshauri mleta mada, mimi sihitaji ushauri wa mtu sisomi nilishahitimu kitambo sana.
 
sasa usiiponde toa mtazamo wako usiwe kama hujasoma udsm bhana
 
Usiende mabibo utakuja kujuta nisikilize mimi.

Iko siku utakua na kipindi cha asubuhi saa moja na shuttle zinakua shida hapo utapata usumbufu sana, kingine ukichelewa kutoka class labda pindi la saa mbili unafika mabibo too late na umechoka sana.

Na kuna ule msimu boom linakata utapata shida kwenda hostel kwa mguu(tuliita shuttle pori kipindi chetu)

Alafu mabibo sijawahi kuipenda maana hakuna utulivu wala mazingira ya kujisomea.

Kaa zako hapo hapo hostel mpya au fanya mishe uende campus kama ukipata hall 6 utafurahi sana maana ni pasafu kuliko halls zingine (kama wewe ni Male).
acha kumdanganya mwenzako nachoamin kama ulianza kwa kuishi main hutapenda kamwe ukae mabibi hostel ila mm nimekaa mabibi hostel miaka minne ya masomo yangu nilipapenda mno achilia mbali hilo swala la usafiri ila kwenye huduma za kijamii kama msosi mabibo utapata hata hadi saa 7 ila main saa mbili unakosa labda ukale mikate keki na soda pale kariakoo. pia huduma za choo na maji main ni za hovyo mtu anakaa hall 5.akibanwa haja anaenda CoET
 
Yes jitahidi upate main campus ila usithubutu kwenda mabibo unless uwe ni mtu wa kupenda makelele na vurugu nyingi ila kama unapenda utulivu kama mimi basi nenda campus kama ukikosa basi kaa hapo hostel mpya sio mbaya sana, sio mbali ukitoka unapitia hapo CoET unaingia venue unapiga pindi lako fresh, kimbembe ukiwa na kipindi venues za Yombo ndo utatembea sana.
mwache aishi atapopenda yeye usimshawishi kwa uongo
 
acha kumdanganya mwenzako nachoamin kama ulianza kwa kuishi main hutapenda kamwe ukae mabibi hostel ila mm nimekaa mabibi hostel miaka minne ya masomo yangu nilipapenda mno achilia mbali hilo swala la usafiri ila kwenye huduma za kijamii kama msosi mabibo utapata hata hadi saa 7 ila main saa mbili unakosa labda ukale mikate keki na soda pale kariakoo. pia huduma za choo na maji main ni za hovyo mtu anakaa hall 5.akibanwa haja anaenda CoET
Acha kuropoka.
Huyo ni mtu mzima kila analoambiwa anachuja, sasa naanzaje kumdanganya? Alafu maana ya ushauri ni kwamba sio lazima ukubaliane, nyie wakazi wa mabibo mishipa ya shingo inawatoka kunishambulia kisa nimeeleza weakness ya mabibo?

Msihamishe magori, mjikite kumshauri mdogo wetu, yeye mwenyewe atachuja wapi patamfaa.
 
Katika kusoma kwangu hapo udsm hakuna mahala pa kuishi niliwahi kupapenda kama MABIBO HOSTEL. Huwa napamiss sana asee!!
mm kila nikienda Dar lazima nifike mabibo nikale pale cafeteria nkae na pale block G chini ya mti maana ni sehem ambayo nilikua nikitingishwa kidogo na dr Nyaoro naenda kula upepo pale. Huyo anaongea anamdanganya dogo wa watu tu
 
Acha kuropoka.
Huyo ni mtu mzima kila analoambiwa anachuja, sasa naanzaje kumdanganya? Alafu maana ya ushauri ni kwamba sio lazima ukubaliane, nyie wakazi wa mabibo mishipa ya shingo inawatoka kunishambulia kisa nimeeleza weakness ya mabibo?

Msihamishe magori, mjikite kumshauri mdogo wetu, yeye mwenyewe atachuja wapi patamfaa.
ndio maana uliishi main watu wa mabibo hawako hvi hua ni wastaarabu
 
Acha kuropoka.
Huyo ni mtu mzima kila analoambiwa anachuja, sasa naanzaje kumdanganya? Alafu maana ya ushauri ni kwamba sio lazima ukubaliane, nyie wakazi wa mabibo mishipa ya shingo inawatoka kunishambulia kisa nimeeleza weakness ya mabibo?

Msihamishe magori, mjikite kumshauri mdogo wetu, yeye mwenyewe atachuja wapi patamfaa.
mabibo hujaeleza weaknss zake umeeleza weaknss zako kuhusu mabibo rekebisha sentensi
 
mwache aishi atapopenda yeye usimshawishi kwa uongo
Povu linakutoka utadhani unapata maslahi yoyote kwenye hii mada

Kwani huyo si mtu mzima? Nimemdanganya kipi sasa?

Mimi sikuwahi kutamani kuishi mabibo kikubwa hakuna utulivu, msongamano na makelele yasiyokua na ulazima, usafiri shida kwa vipindi vya asubuhi pale mataa unachelewa.

Kama unaipenda mabibo sio dhambi, najisemea nafsi yangu pia natoa sababu za kutoipenda mabibo.
 
mm kila nikienda Dar lazima nifike mabibo nikale pale cafeteria nkae na pale block G chini ya mti maana ni sehem ambayo nilikua nikitingishwa kidogo na dr Nyaoro naenda kula upepo pale. Huyo anaongea anamdanganya dogo wa watu tu
Hahahah,mimi mara nyingi pale cafteria nlikuwa naenda kula ugali samaki mkavu pale ila ckuwa mlaji sana wa cafteria. Block G ilikuwa ndio makutano yangu na wana kila ukifika muda wa kwenda kula maana tulikuwa tunakula sehemu moja kikudi cha watu kama watano hivi so makutano ilikuwa block G. Weekend pia jumapili/jumamosi kama hakuna test basi mida ya saa tisa hivi tulikuwa tunajipumzisha pale chini ya mti au block G kwenye tunakula upepo na coca- cola bariiidii. Tukitoka hapo tunakutana vimbweta!! Hakuna kama mabibo kwangu!!!
 
kama hujazoea mabibo utaona chuo kigumu mm nakumbuka nilibiwa nisiishi mabibo eti kuna anasa cha ajabu hadi namalizahyo anasa sikuiona chuo nilikua naenda jioni mpira nacheza maisha yakawa simple machimbo ya msosi yalikua mengi mnoo
 
Back
Top Bottom