Manyonyo kuwasha sana usiku

Manyonyo kuwasha sana usiku

Unatumia uzazi wa mpango?
Angalia bra unazovaa zonabana sana au unatumia any tight in
Una allergy yoyote unayoifahamu katika mwili wako (pumu ya mapafu au ya ngozi, kutokwa na vipele vingi ukinyoa, kuwashwa sana Kwa kitu kidogo tofauti na wengine)
Umebadili mavazi au aina ya mafuta cream lotion uliyotumia awali
 
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
wanaokwambia kuna dawa ya kupaka, mara kupima wanakuongopea tu....matatizo mengine dawa yake inajulikana...hivi ukiwashwa ukeni huwa unapaka nin?
 
Unatumia uzazi wa mpango?
Angalia bra unazovaa zonabana sana au unatumia any tight in
Una allergy yoyote unayoifahamu katika mwili wako (pumu ya mapafu au ya ngozi, kutokwa na vipele vingi ukinyoa, kuwashwa sana Kwa kitu kidogo tofauti na wengine)
Umebadili mavazi au aina ya mafuta cream lotion uliyotumia awali
Hapana situmii uzazi wa mpango.
Hayo mengine ngoja nijitafakari
Ahsante smallvile
 
Ok endelea kuwasha cz hakuna fungi wanaowasha hadi chuchu au unakaugonjwa alikokavumbua jpm [HASHTAG]#unawashwa[/HASHTAG] washwa.
 
Back
Top Bottom