Recent content by skata jr

  1. skata jr

    Msaada: Nikitaka kusoma cheti cha sheria, sifa gani zinahitajika?

    Wakuu poleni na kazi, ninaomba msaada katika hili... Nikitaka kusoma CERTIFICATE OF LAW ninatakiwa kuwa na vigezo gani?
  2. skata jr

    Nini mtazamo wako kuhusu kauli hii ya Waziri Mkuu?

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuna baadhi ya watu wamejipenyeza na kutaka kuiibia Serikali kupitia suala la ulipaji wa fidia kwa wananchi wanaopisha miradi ya makaa ya mawe ya Mchuchuma na chuma cha Liganga. Amesema kuwa Serikali haiko tayari kuona wananchi hao wakitumika kama madaraja...
  3. skata jr

    Naomba msaada wa kisheria katika hili

    Suala ni kwamba baba ake mdogo ndo mtata kifup amekuwa kama ni mtu wa kutukuzwa hvi
  4. skata jr

    Naomba msaada wa kisheria katika hili

    Ahsante nimekuelewa mkuu... Hakukuwa na makubaliano yeyote kuhusu muda
  5. skata jr

    Naomba msaada wa kisheria katika hili

    Shukran wakuu kwa michango yenu
  6. skata jr

    Hotuba ya rais Donald Trump kwa lugha ya kiswahili

    TRUMP: Jaji Mkuu Roberts, Rais Carter, Rais Clinton, Rais Bush, Rais Obama, Wamarekani wenzangu na watu wote duniani, asanteni sana. (MAKOFI) Sisi, Wananchi wa Marekani, tunaungana katika juhudi za pamoja kitaifa kujenga nchi yetu na kutunza ahadi zake kwa watu wetu wote. (MAKOFI) Pamoja...
  7. skata jr

    Was Jesus Black?

    Ngoja niende narudi staki kukurupuka
  8. skata jr

    Kati ya Programmer na I.T

    Ahsante mkuu, mimi pia ni mwanafunz wa IT mwaka 1 ....nimekupata
  9. skata jr

    Ni wapi naweza kutrack simu iliyopotea kwa IMEI (Dar)?

    Nenda kituo chocho cha polisi uliza kitengo cha cyber crime ( uhalifu wa mitandao) utapata maelezo
  10. skata jr

    Naomba msaada wa kisheria katika hili

    Kuna binti nilizaa nae mwaka 2012 lakini nikiwa bado nasoma chuo mwaka wa kwanza BA, binti kwasababu alikuwa bado anaishi na walezi wake hakutaka kunitaja mapema, kwani alikuwa anajua hali yangu nakunionea huruma kama wangeamua wamfukuzie kwangu basi ndoto zangu pia zingeweza kuishia njiani...
  11. skata jr

    Tetesi: Mpango wakufanya vurugu kesi ya Lema

    Haaaaaaa haaaaaa hii post ina hiden culcrum
  12. skata jr

    Zitto: Angalieni hali ya Wanafunzi, jirani yao Chato inajengwa Airport ya zaidi ya Tshs Bilioni 50

    Ifahamike kuwa mimi siyo mtu wa ndyo mzee Nikuombe mwenyewe basi unayeng'ang'ania nipe attachment source
Back
Top Bottom