jamaly officially
Member
- May 30, 2016
- 6
- 0
that good
Mkuu, ni kituo chochote cha polisi au hadi HQ. Naomba mwenye maelezo mazuri na hiki kitu atusaidie kueleza.Inawezekana kabisa kuikama simu kwa kupeleka IMEI polisi , na upate ushirikiano mzuri. Nimeshashuhudia imefanikishwa
Unaweza itafuta sim Kwa kjuripot polis,iwapo kunatukio la kihalifu na simu huweza kuwa kama tracking device.Nimeibiwa simu aina ya Nokia Lumia, nimewai sikia kuna mahala katika mitandao ya simu watu huwa wanapeleka IMEI na pia simu inatafutwa nakuonekana au kama ni kuilock.
Niekeze niifanyie yangu kaka sawa eeehkwa simu za lumia kama uli enable find my phone ungeweza kuitrack kama angekua hajaiflash/reset ila wengi wenu humu munakumbuka shuka asubuhi wakati haijaibiwa unakuwa huombi ushauri ila ikiibiwa ndio unataka ushauri
Inawezekana mkuuJamani ya kweli haya...!! Polisi wanaweza kusaidia tracking..?!
Kuna mtu alikamatwa na simu kwa stail hii ofisini kwetu....... Tena wanajua mpaka ulipoInawezekana kabisa kuikama simu kwa kupeleka IMEI polisi , na upate ushirikiano mzuri. Nimeshashuhudia imefanikishwa
MI NKINUNUA SIMU, HUWAGA HAIKAAGI NA DATA ZA SIRI NAONDOAKuna mtu alikamatwa na simu kwa stail hii ofisini kwetu....... Tena wanajua mpaka ulipo
teach me how to rwmove coz sometimes unanunua simu kwa mtu unayemfahamu kumbe nayeye kapewa kutoka kwa mwiziMI NKINUNUA SIMU, HUWAGA HAIKAAGI NA DATA ZA SIRI NAONDOA