Tetesi: Mpango wakufanya vurugu kesi ya Lema

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Zipo video zipo kwenye mitandao ya you tube zinashawishi wananchi kufanya fujo kwenye kesi ya lema ikiwa Lema hata achiliwa. Ktk video ile wamesikika msemaji akusema kwa kumanisha WATAFUNGULIA MBWA IKIWA LEMA HATOPATA DHAMANA. NAOMBA VYOMBO VYA USALAMA VIFUWATILIE KWA UKARBU SWALA HILI. Watanzania tunaimani na vyombo vyetu vya ulinzi who is Lema
 
Hiii habar bila hako kavideo itakua haina mashiko kama uko serious,weka hapa hata ukipigwa ban utakuwa umetekeleza wajibu wako
 
Zipo video zipo kwenye mitandao ya you tube zinashawishi wananchi kufanya fujo kwenye kesi ya lema ikiwa Lema hata achiliwa. Ktk video ile wamesikika msemaji akusema kwa kumanisha WATAFUNGULIA MBWA IKIWA LEMA HATOPATA DHAMANA. NAOMBA VYOMBO VYA USALAMA VIFUWATILIE KWA UKARBU SWALA HILI. Watanzania tunaimani na vyombo vyetu vya ulinzi who is Lema
Gari umelipata? Katafute gari acha ukenge wa lumumba!
 
Zipo video zipo kwenye mitandao ya you tube zinashawishi wananchi kufanya fujo kwenye kesi ya lema ikiwa Lema hata achiliwa. Ktk video ile wamesikika msemaji akusema kwa kumanisha WATAFUNGULIA MBWA IKIWA LEMA HATOPATA DHAMANA. NAOMBA VYOMBO VYA USALAMA VIFUWATILIE KWA UKARBU SWALA HILI. Watanzania tunaimani na vyombo vyetu vya ulinzi who is Lema
Kama tunaonewa tuna kila haki ya kujitetea kwa namna tunayoona inafaa, madikteta dawa yao ni upanga tu kwa maana na wao huua kwa upanga!
 
Wala usiwe na wasiwasi
Hao wanywa viroba hawatushindi kamwe!!
Umesahau mbwembwe zao za Ukuta!!
Wapi walipo potelea
Lema anafundishwa adabu
Na lazima ajutie Makosa yake
Huyu wali mlea sana akaota mapembe.

Walisema Akikaa ndani atakuwa Mandela
Kwanini walielie!!
 
Umbea umbea umezidi,macho yenu hayaoni mbali......,midomo imepinda....kwa kusema sema ya wenzenu....misikio waluwalu...Ally Choki
 
Zipo video zipo kwenye mitandao ya you tube zinashawishi wananchi kufanya fujo kwenye kesi ya lema ikiwa Lema hata achiliwa. Ktk video ile wamesikika msemaji akusema kwa kumanisha WATAFUNGULIA MBWA IKIWA LEMA HATOPATA DHAMANA. NAOMBA VYOMBO VYA USALAMA VIFUWATILIE KWA UKARBU SWALA HILI. Watanzania tunaimani na vyombo vyetu vya ulinzi who is Lema
Haaaaaaa haaaaaa hii post ina hiden culcrum
 
Huyu mleta uzi anaonekana anaye mungu anayemtumikia; halafu ni mmoja wapo kati ya wale wasiojielewa wala hawana uwezo wa kujiongeza. Kwani lema akikaa lupango yeye anafaidi kitu gani? Na akitoka ana loose nini? Sasa ninataka nimwambie ya kuwa yako makusudi ya Mungu Lema kukaa ndani, na siku yatakapotimia atatoka akiwa huru. Swali; je yeye anaijua kesho yake? Anajua idadi ya nywele zake? Hakuna ayajuaye hayo yote ila Roho wa Bwana allayed ndani yake. A waulize wanajua kuhusu mtakatifu Yohana kilitokea nini mpaka akapelekwa ktk kisiwa cha Patmo na alipokuwa huko nini kilitokea? Au alifunuliwa nini? Achana na imani za kirozari hiyo ni sanamu tu kama zilitoka sanamu zingine mpendwa
 
Ila huyu jamaa ile kesi ya kumtukana RC hachomoi.

Sijui aliwaza nini hadi akatuma ile SMS.
 
Who is magufulification ?...

Who want to rule Parliament....

To rule judicial?..........

If happen I support that

Its to much for dictator u..c..h..w..a..r..a.............
 
Back
Top Bottom