Recent content by Sizinga

  1. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 17 kutumia JF hivi sasa. Nimem-miss Dkt Slaa

    Nikiwa hata sina miaka 23....is this statement relevant?
  2. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 17 kutumia JF hivi sasa. Nimem-miss Dkt Slaa

    Kuna member akiitwa Malaria Sugu. Je ni wewe ama mwingine? Maana naye alijiunga mwaka huohuo 2009 like you
  3. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    Umri wa utu uzima unaanzaje kujifunza kupumua kwa mdomo? Au kulalia ubavu.? Practically impossible
  4. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Nimewachanganya mbu hawaamini macho yao

    Very low
  5. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa kazi kweli!

    Wala si mbali bro... Just few years back
  6. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    Umesahau kukwepa kodi nayo ni dirty deal
  7. Sizinga

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Kijiji cha Sanya Station tupo hatarini, El-Nino inakuja, mto umejaa magogo, Viongozi wanatupa ahadi ila hazitekelezwi

    Tunaomba picha ya eneo la mto hapo Sanya tujue kwa picha hali ilivyo
  8. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

    Nyokaa na Rwezaura kuku
  9. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini baadhi ya ofisi hupendelea kuweka maua ya asili

    Hii mimea ikipandwa kwenye makazi ina fanya kama ukivyoandika hapo? Au ni kwa Ofisini tu
  10. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Leo nimegundua kitu kimoja, kuvuka barabara si kitu kidogo!

    Juzi kuna askari wawili wamekatishwa maisha yao kwenye haya matukio... Magari yamesimamishwa ili watembea kwa miguu wavuke...Noah imetokea ilikotokea dereva ana haraka akayavuka magari yaliyosimama mwishowe kaenda kuwagonga askari wawili ambao wote walifariki
  11. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa simulizi za mnyama kobe

    Haya mambo ya panzi ana miguu mingapi ndo yalitutoa mchezoni kwenye elimu yetu... Nina miaka mingi sijawahi tamka wala kumuona Kobe... So hana faida za kumjadili kabisa
  12. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Any link to verify this info plz
  13. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Kwani akipata ela kwenye haso zake anakushirikisha? Au ni kimya kimya tu? Kwa stori yako sijaona shida bado
  14. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Kipi katika hivi unaamini visingekuwepo, tungeishi kwa afadhali kuzidi sasa

    Hata hizi imani za kina Mwamposa ni matokeo ya ushirikina uliokuwepo kwenye jamii... Kila mtu mwenye kukosa jambo fulani anaamini amerogwa na wahuni wanapitia humohumo
Back
Top Bottom