Recent content by size 96

  1. size 96

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii issue nimekutananayo pia ikabidi niende sehemu nilipo nunua umeme wa kwanza nikaambiwa Nina deni ingali mita ina miezi mitatu nikaambiwa nideni la toka mwaka wa serekali umeanza mwezi wa 7 mwaka 2025 natakiwa nilipe deni la miezi kumi ndio niweze kununua umeme na mind you mita ina miezi...
  2. size 96

    Msaada tutani kwa mwenye uzoefu na madini ya vito

    Kwa mwenye ujuzi hii ni mali au ni mawe tu kama kuna anaejua anijuze tafadhari ni Vito vya aina gani hivi na soko lake ni wapi kwa Tanzania
  3. size 96

    Mahindi yanahitajika

    Ni vizuri ukaweka details zote hapa Kama mahindi mapya bei ni 800 kwa kg Mahindi ya zamani bei yake ikoje ? Apo kibaha kuna kiwanda cha wachina unatoka na mahindi ukijua Kuna soko la uhakika ukifika nayo wanakuomba pesa ya udalali ili mzigo wako ununuliwe Kwenye izi fursa inahitaji umakini wa...
  4. size 96

    Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Lete story tumalizie
  5. size 96

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    https://t.co/dH2Go70HGN
  6. size 96

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Tunahitaji vyote kulinda na kushambulia ndio maana kibu anahitajika sababu anapanda na kushuka kuzuia
  7. size 96

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Kibu na msuva wakiwa pembeni samata akae kati mnonga mzito atoke
  8. size 96

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Kibu anahitajika game ipo upande wetu hii
  9. size 96

    Mama kama Mama na uongozi wake

    Iyo siku aiji tokea ni mabadilishano ya mateso tu Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  10. size 96

    Mama kama Mama na uongozi wake

    Si ndicho walicho sema ivi taarifa za bwala la nyerere sikuizi mbona zipo kimya ata TBC tu wameacha kuonyesha zile makala zinazo elezea mradi Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  11. size 96

    Mama kama Mama na uongozi wake

    Wakuu heshima kwenu aisee nimemkumbuka baba japo alikuwa mkali ila umuhimu wake ulikua mkubwa sana malezi ya mama sasa eeeh atuna budi kufuatisha yale anayo tuambia mama. - Nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi vipi uko tunaomba mrejesho kote bara na visiwani tujue. - tozo mbona atuambiwi...
  12. size 96

    Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

    Nakumbuka enzi izo ilikua kila baada ya li saa inatuharibikia kufika mikumi likagoma na kuendelea na safari service toka morogoro mjini ndo kidogo ikasaidia tukafika dar saa 7 toka mbeya iyo ni 2006
  13. size 96

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Dogo alijaza advance kama first choice wamemchagua chuo
  14. size 96

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Wakuu tupeni link mana tamisemi awajaweka
Back
Top Bottom