Recent content by siza joel

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahaaaa, watu hawana wivu na likes , kweli hii JMF.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA, mmeshindwa kusimamia kurudi kwa local channels kwenye ving'amuzi?

    Ngoja tusubirie wenyewe, ntarudi baadae kusoma comments
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Kweli bongo baati mbaya, jamaa huwa wanasahau na kujichanganya sana kwa kauli zao
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Kibondo mmepata mshahara?

    Ngoja tuisome namba sote kwapamoja.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2017/2018: Ufisadi katika Ununuzi wa Sare za Jeshi la Polisi

    Da, hii nchi watu wanapiga pesa bila huruma. Lkn utaskia adi muuza karanga inabidi aripe kodi. MUNGU WANGU.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bomu la ajira

    Tatizo watanzania wengi tena waliotumia kodi za wananchi na kupata elimu hawana maono na nchi yao, wanaongoza nchi inayolea watanzania wenzao bila hata kutafakari . Ajira hakuna, secta binafsi zinazotemewa na walalaoi wengi( shule ,vyuo na viwanda) vinafungwa , bei ya vifaa vya ujenzi znapanda...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Walimu nani kawaroga?

    Yaan uwaalimu ni kazi yenye watu wasio jithamini wenyewe ,serkali haiwathamini, kazi kuwapangia majukumu mengi yaani mwalimu ni muhusibu wa shule,ni mshauri wa wanafunzi, yeye mwenyewe afundishe darasan, aandae lesson plan kwa kila darasa, aandae scheme of work, aakikishe eneo LA shule safi, yan...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Ngoja niwe makini kuufuatilia Uzi huu, maana nahisi wanaojadili ni watu makini sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jamani wanajamvi , jinsi gani unaweza kudai pesa yako ya mshahara kwa mwajiri wa shule asiye kulipa zaidi ya miez 6?.

    Jaman , Mimi n mfanyakazi katika shule moja ya private hapa dar es salaam , mwajiri wangu ajanilpa mishara yangu zaidi ya 6 mpaka sasa, hataki kuniunganisha HESLB, hataki kuniunganisha na bima. naomba msaada wa kisheria jinsi ya kupatiwa stahiki zangu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jamani ,wanajamvi, ni jinsi gani unaweza kumshitaki mwajiri ( mkurugenzi wa shule) kwa kutokulipa mshahara zaid ya mwezi 6.

    Jamani Mimi ni mwalimu wa shule moja ya binafsi, nmefanya kazi mwaka mmoja na miezi mitatu sasa , lakini nnadai mishahara ya miezi 8 mpaka sasahv, naomba msaada njia ya kisheria jinsi ya kuzipata pesa zangu kwa haraka ,maana mwajiri anasema siwezi mfanya chochote popote ntakapo kwenda.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Salary slip kwa watumishi wa Serikali

    Hv, kwenye field birth date, kunajazwa nn?.
Back
Top Bottom