Jamani Mimi ni mwalimu wa shule moja ya binafsi, nmefanya kazi mwaka mmoja na miezi mitatu sasa , lakini nnadai mishahara ya miezi 8 mpaka sasahv, naomba msaada njia ya kisheria jinsi ya kuzipata pesa zangu kwa haraka ,maana mwajiri anasema siwezi mfanya chochote popote ntakapo kwenda.