Walimu nani kawaroga?

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
1,803
1,362
No madaraja
No increments
No uhamisho

Ila .
Mfaulishe kwa zaid ya asilimia 90.
Mdhibiti utoro kwa asilimia 95.
Mkuze nidhamu kwa asilimia 95.

Pia.
Muandae notsi kwa asilimia 99
Muandae Lesson Plan kwa asilimia 100.
Muandae zana za kufundishia kwa asilimia 80.

Zingatia.
Kuwahi kazini saa kabla ya 1:30 asubuhi.
Mkae kituo cha kazi mpaka mwisho usitoroke.
Toa kazi kwa asilimia 100
Sahihi kazi zote kwa asilimia 100.

Msisahau .
T.O.D hakikisha umejaza kitabu cha Zamu.
Hakikisha shule safi.
Hakikisha hakuna anaetoroka.
Hakikisha unatoa adhabu kwa watoro na watukutu wote.

Kumbuka.
Bakola hata moja mtoto akizimia ,kuumia ama kufa utawajibishwa ipasavyo na jamhuri na wananchi watashangilia kuona unawajibishwa.

.walimu peponi panawahusu.
🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬🤬

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waalim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan uwaalimu ni kazi yenye watu wasio jithamini wenyewe ,serkali haiwathamini, kazi kuwapangia majukumu mengi yaani mwalimu ni muhusibu wa shule,ni mshauri wa wanafunzi, yeye mwenyewe afundishe darasan, aandae lesson plan kwa kila darasa, aandae scheme of work, aakikishe eneo LA shule safi, yan vitu ving, Mshahara kiduchu, hakuna posho, karbia kijimshahara kidogo chote kinaishia kukatwa kodi, hakuna mshahara kupanda 4yrs nw, no kupanda daraja , KWELI PEPONI WALIMU WOTE WATAEENDA.
 
Yote hayo yanafanywa hivyo kwa sababu tu madhara ya walimu hayaonekani kwa muda mfupi. Huwa ni suala la kizazi laiti kama ingelikuwa kama ilivyo kwa daktari kwamba ni kitendo cha nukta tu madhara yanaonekana hakika hizi kelele zisingelikuwepo.

Tujipe moyo tu, ipo siku tutakumbuka. Na hapo ndipo tutalia na kusaga meno
 
Walimu hamuwajui,
Ndo maana shule inawanafunz 300
Lkn utashangaa wanaofaulu kwenda advance na vyuoni n hawazid hata 50
Sasa unaona jins wanayoafanya hayaonekan kirahis ila utaskia watu kulalamikia shule za umma tu.
Lkn pia walim wengi n watu ambao hata background yao n familia zisizo na vipato vikubwa sana, so hawawez kugoma wakat hata hicho kidogo kinaweza kuwakidh japo kwa shida....

Baada ya matokeo ya NECTA ndo huanza kumtafuta mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna MTU alienda kusoma ualim mzazi wake akiwa mkuu wa idara, Mkurugenzi, DC, das, rc, Ra's, waziri, mfanyabiashara wa kipato m100 kwa mwaka, au barozi nitajie. au jitaje. nitakutumia laki 2.

walimu 99% ni watoto wa wakulima, walimu, polisi, magereza, migambo, changudoa na wafanyabiashara wa vipato pungufu ya m50 kwa mwaka.

hayupo wa kugoma wala kuacha kazi, wanaweza kupiga mikwara tu.Mimi ni mwalimu, mtoto wa mkulima, hadi namaliza chuo kikuu wazazi wangu wanalala nyumba ya nyasi. leo nashukuru wapo kwenye nyumba ya bati, sakafu, sofa, TV, umeme na wote wana simu.

nikiwaambia naacha kazi kisa sijapandishwa na pombe laana nitaiweka wapi?

nitastaafu kwa hiari 2040, nina kibiashara kidogo cha faida buku 6 kwa siku. geto langu lipo kwenye lenta.
 
Back
Top Bottom