Watumishi wa umma Kibondo mmepata mshahara?

Ndio ww si ACT mkuu pambana na zitto akulipe sasa
 
Kigoma mjini (Kwa ZZK) inapovuliwa migebuka mpaka kibondo ni 250KM. Mbunge wa kibondo simfahamu lkn ni wa Kijani.
Sisi tunajua kibondo. Kigoma. Ujiji ni jirani jirani kama Kinondoni na Ilala na Ubungo na Temeke. Kumbe ni mbali hivyo
 
Hivi kuna mtumishi yoyote idara ya elimu halmashauri ya wilaya kibongo ameshalipwa mshahara mbona halmashauri nyingine wamelipwa tangia tarehe kumi na nane ya mwezi huu tatizo nn kibondo
Ina mana nyie ELIMU huwa mnalipwa tofauti na sisi? Mbona sisi idara ya MIFUGO karibia tunamaliza kutumia mshahara wetu! Nyie ELIMU ni punching bag ya serikali vumilieni tu!
 
Jamani mwenye taarifa juu ya ili tatizo atujuze kumbe sio kibongo tu kuna halmashauri nyingine
 
Mushukuru mungu awakuwawekea maana zote zingeishia kwenye sikukuu. Mm salio bakia alifiki ata laki na nusu na mwezi ndo bado haujaisha.
 
Sio huko Kibondo tu hata halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu mpaka leo Jumanne tarehe 23/04/2019 watumishi wake nao hawajapata mshahara wa mwezi April 2019.
 
Ngoja tuisome namba sote kwapamoja.
 
Sisi tunajua kibondo. Kigoma. Ujiji ni jirani jirani kama Kinondoni na Ilala na Ubungo na Temeke. Kumbe ni mbali hivyo
Hatareee mkuu kibondo to kigoma/Ujiji pana mwendo na pana pori la kutisha hapo mto malagarasi hukatiz mwenyew usiku.
 
Acheni masihara jamani hata huku Newala hakuna kitu na hatujui chochote
 
Poleni sana...

Daah huyo aliyeidhinisha mishahara toka tarehe 18 inabidi aitwe kwenye kamati ya maadili, itakua amejiwaishia mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Hatareee mkuu kibondo to kigoma/Ujiji pana mwendo na pana pori la kutisha hapo mto malagarasi hukatiz mwenyew usiku.
Nasikia huko kila mtu ana SMG na risasi zinauzwa kama madawa ya kulevya Kinondoni au kama bhangi ndani ya gereza la Segerea
 
Back
Top Bottom