chukua muda na mchunguze taratibu, huenda keshapata mwingine anayemkeep busy. Angalia maisha yako kwa sasa na ujiandae kwa lolote. Mimi yalinikuta hayo hayo mwanzo anakuwa na muda kila siku baada ya kazi lakini ghafla akawa anasingizia yuko busy kila siku. Nilichunguza na kukuta kapata mtu...
I think in next election everybody should play her/his part. We must unite and throw out this old stinking ccm party. We are sick of its mafisadi, nepotism and other foul scandals which brought shame to our country. Bye bye ccm in 2010, enough is enough !We will not bear to see you...
tusiende mbali tuende moshi mjini, jaribu kutupa taka hovyo au ukojolee ukuta uone matokeo yake. Tuanze kubadilika na kuweka mazingira yetu katika hali ya usafi, kwanza kabisa jiji liweke mapipa ya taka kila sehemu na taratibu watu watabadilika!
we need to make something happen next year! Let us make it happen by bringing major change in Tanzania like in Kenya. We are fed up with corrupt leaders in Tanzania. Together we can!
huyo makamba hana dira ila anapayuka payuka ovyo popote pale bila kujali yuko wapi au kuna nini, akifikiria huko ndiko kukipigia debe ccm kumbe anapaka mavi! aachie ngazi sasa kutawala kushamtosha na sasa anaharibu kila kitu ......ovyo!
yaani mtu anagombea uongozi kwa ajili ya kuifaidisha familia yake na tumbo lake tuu mahekalu mawili ya nini? Yeye ni Tembo au atawezaje kuishi katika mahekalu mawili at the same time? Hiyo ni tamaa ya fisi tu!
Acha mali aliyowekeza loliondo pamoja na waarabu plae! Hajatosheka bado? Anaangalia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.