Jamani makamba anazeeka vibaya!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani makamba anazeeka vibaya!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Hakika ntakuwa sijawatendea haki wana CCM kama sijaeleza vituko vya huyu mzee wetu....
  jaman walioangalia taarifa ya habari wameamini kwamba huyu mzee wetu anazeeka vibaya kabisa....wakati wabunge wakiwa wametangaziwa kufiwa kwa mmoja wa mbunge mwenzao ...kukawa na vikao vya kumzungumzia marehemu ....mwandishi wa nipashe aipofika....kwa mzee wetu makamba alimwambia mzee wetu pole sana sana...kwa kufiwa na mzee wetu...mbunge wetu....jibu la kwanza mzee alianza kwa kusema kama mnavyojua nyie waandishi jino la dhahabu hubadilishwa kwa jino la dhahabu na jino la dhahabu ni CCM....ahsante sana najua watu wa .........watajitayarisha kumchagua mtu wa CCM....Hakika mwenye busara zao walisikitika sana kwa majibu ya huyu mzee wetu...wengi walitaraji amejisikiaje kwa msiba mzito wa taifa na sio kujua nani atachaguliwa tena kwenye jimbo lake.......

  Mzee makamba nahisi anaitaji mshauri jamani...msimwachie awe anaongea mwenyewe bila ruhusa ya mshauri wake...nawatakia pole wana CCM na ote walioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyingine

  BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  CCM haijali kitu zaidi ya kushinda chaguzi.

  Tumeona Kikwete alivyofanya kila mbinu kuingia Ikulu, alipofika hajui cha kufanya, hii ni kwa sababu hakuna mkakati zaidi ya kushinda chaguzi.Juzi Chiligati kasema hili wazi.

  Watu wanakosa hata decency ya kujibaraguza mpaka mtu azikwe? Nilikuwa nasoma bio ya John Ascroft, just for the heck of it nione hawa na Republicans wanafikiri vipi, jamaa anadai kuna wakati alikuwa in the middle of a campaign, kama wiki mbili kabla ya uchaguzi, ikatokea mpinzani wake akafariki katika ajali ya ndege, ikabidi Ascroft asimamishe kampeni for almost two weeks kuonyesha respect kwa mpinzani wake.

  Leo CCM mbunge wenu anakufa mnashindwa hata kusubiri azikwe mshaanza kampeni?
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Am i surprise with your comment no....wewe wakati ule wa uchaguzi ulikuwa mstari wa mbele kumpigia debe kikwete....leo hii unaanza kumkandamiza....same thing with Obama wakati wa uchaguzi wa uraisi marekani watu wengi walikuwa wanampigia debe Obama leo hii kila mtu ananza kutoa negativity zake...kama ulimchagua/pigia kura kikwete then usikate tamaa endelea kum support hadi leo....siyomambo ya bendera kufuata upepo....huo siyo uzalendo kabisa......

  Kuhusu Makamba....we all knwo uzee sio mzuri....ukishaanz akuzeeka yor midn and thoght vinakuwa kama mtoto...feel sorry for mr makamba...ndiyo maana yupo January to take over!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,251
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Leo CCM mbunge wenu anakufa mnashindwa hata kusubiri azikwe mshaanza kampeni?


  Mpwa Hawa CCM ni washenzi kabisa wanajali mtu akiwa anawatumikia tu;ilikuwa aibu ya mwaka nikasema haya ndio matatatizo ya wabunge wa kuchaguliwa hata kwenye majibu hawatumii akili kwa sababu awakutumia akili zao kuingia madarakani-bungeni...hata wizi wa kura awakufanya wao wanasubiri...."rais wa jamhuri ya muungano wa mafisadi amemchagua ndg......kuwa mbunge "kama sheria/ibara ya .....namba fulani...hao ndio wakina MAKAMBA......
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Unajuwa ile maana ya nyundo na jembe...katika bendera yao ndo utajuwa kuwa jibu la makamba halikuwa bahati mbaya saaaaana.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  "Kufa kufaana". Hapo kuna watu washa furahia maana kifo cha marehemu mbunge kuna wapa nafasi wao.Sidhani kama una mwanasiasa anayemjali mwanasiasa mwenzie maana akiondoka mmoja basi ina wapa fursa wengine.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwani kuna tatizo gani na uzee?
  WAZEE NI GRISI YA TAIFA!

  matatizo ya makamba hayatokani na uzee!.......ALIVYO NDIVYO ALIVYO!
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Makamba is a shame for the nation and people arround him...ni kawaida ya watu "wanafiki" zaidi ya kufikiri tumbo lake kwa namna yeyote ile...uzuri anasaidia CCM kufa..very good for some of us..lol
   
 9. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  utamgundua mtu asiye na akili, hovyo na kuropoka ropoka tuu. . . .
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Labda unanifananisha binti, wakati Kikwete hajazaliwa, in another lifetime, nilikuwa namuwashia moto.

  Mie nilimpinga Kikwete, si 2005 tu, bali hata 1995.

  Mie nilimpinga Mkapa mbele ya famila yake 2004-2005. Mie naipinga establishment yote ya CCM.

  Leo unataka kunipakazia nimempigia kampeni Kikwete, wapi? Tuonyeshe hapa.

  Usitake kukashifu reps za watu, wengine kwenye circles zetu kumpigia kampeni Kikwete ni tusi kubwa.

  Nakutaka kama una chembe ya aibu na msimamo wa kutaka kuchukuliwa seriously ama unionyeshe nilipompigia kampeni Kikwete, ama uniombe msamaha publicly.
   
 11. C

  Chokona Member

  #11
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bila kumvunjia heshima M/kiti wake lakini waingereza walisema "birds of the same feathers fly together" nafikiri ata chairmain wake reasoning capacity ndo hiyo ndo maana unaona tunayoyaona na kuyasikia tunayoyasikia leo.
   
 12. s

  siyajui Member

  #12
  Nov 3, 2009
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo makamba hana dira ila anapayuka payuka ovyo popote pale bila kujali yuko wapi au kuna nini, akifikiria huko ndiko kukipigia debe ccm kumbe anapaka mavi! aachie ngazi sasa kutawala kushamtosha na sasa anaharibu kila kitu ......ovyo!
   
 13. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Wewe kaka unabisha nini ndiyo ulimfagiliya Kikwete na wala hukumpinga nilikuwa nakusoma tuu ulisema you need a young president ambaye ataleta change and now unaona mambo yanakwenda mama unaanza kuniambia nikupe ushahidi wa nini na wakati kila mtu anajua.Na siwezikuanza kurudi nyuma na kutafuta data when and where ulikuwa unampigia debe. Wenye muda watafanya hivyo...miye i move foward siangalii kilichotokea nyuma na focus kilicho mbele yangu...and that is what you need to do.

  Mimi au wewe unayetakiwa kuwa na chembe cha aibu.miye nakupa fact maana upo kama bendera kufuata upepo.wewe kama unaona kikwete hafai then kwa nini usiende wewe kugombea uraisi na tuone kama utayaweza watu mnajua kulalamika tuu hamjui kama kazi ya kuongoza nchi ni kazi kubwa sana kuliko anything...its easy to say maana mnakaa kwenye computer na kutype wengine hata kazi ya uongozi hamjawahi kuwa nayo na hamjui anything.Its a hard work.

  Hapa simuongelei makamba wala simtetei makamba naongelea Kama a proud CCM candidate.
   
 14. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Kutakuwa na ubaya gani kama Blu-Ray ali-support na baadaye kubadilika baada ya kuona jamaa hafai. Maturity ndio hiyo. Unampa mtu the Benefit of the Doubt na baadaye una-make conclusion.
   
 15. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Zakumi to me i think Kuna ubaya maana hakufanya research yake vizuri inaonekana alikurupuka tuu.I doubt kama hakuwa matured 2005 na akaweza kum support Kikwete alikuwa na akili yake timamu.
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280

  [​IMG]Binti Maringo [​IMG]
  Binti Maringo Thinking!
  JF Senior Expert Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date: Wed Jul 2007
  Posts: 2,123
  Thanks: 7
  Thanked 32 Times in 23 Posts
  Rep Power: 27 [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]  Hapo penye nyukundu pana nipa UTATA. Ina maana ulimzimia Mkuu Bluray toka nyuma ya mwaka 2006 na hatimaye ukaja jiunga mwaka 2007? Au ndiyo majina mawili mawili??? Hihiiiiiiii :)
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Keep in mind kabla JF haijaanza ilikuwa jambo forum,been here for the longest hiyo nyekundu isikupe utata yakhe.
  Na kulikuwa na business times,nyenzi,youngafrican i have been reading this so called Bluray kw amuda sana don;t get me wrong he is a smart guy/very challenging and i wish siku moja nije kukutane naye live au nimjue tuu in person.
   
 18. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Hakuna ubaya (period). Na hakuna sababu ya kufanya research. Political capital aliyokuwa nayo JK ilikuwa kubwa. Na jinsi alivyo-ruin it, sio makosa ya waliompa genuine support in 2005.
   
 19. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  How unamchagua mtu bila kufanya research yako?haya ndiyo makosa tunayoyafanya just because.Usimpe mtu support just because anafaa mpe mtu support ukijua kuwa huyu mtu ni hard working na atabadilisha mambo mengi.kAMA NI hivyo basi mtafanya makosa tena si mnataka CCM iondoke madarakani? watch chama kitakachokuja ndiyo kitaharibu kabisa.msichague mtu ilimradi mmechagua angalia na ameifanyia nini nchi na asiwe mtu kutoka katika channel hizohizo.
   
 20. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mbona ushapewa nafasi hapa kunipa hizo link?

  Kwanza angalia siku niliyojiunga hapa na siku za kampeni ya Kikwete, tofauti.

  Yatakushinda.
   
Loading...