Mbunge wa Ruangwa Lindi afariki dunia

ITS SAD TO NGITU FAMILY only less than two months ago walimpoteza kaka yake na mbunge NGITU ambaye aligongwa na mkokoteni..[wa miguu mitatu]....akaumia kichwani ..alikuwa ni moja wa maafisa wetu WAANDAMIZI...Hapa nchini...
 
R.I.P Ngitu. Mungu alikupenda zaidi. Poleni familia, ndugu, marafiki na maadui hata yule ambaye alifukuzwa na wanandugu pale Muhimbili maana walimtuhumu kwa mengi na kuona kama alikuja kumchuria mgonjwa na si kumjulia hali. Yote tumwachie Mungu ambaye ndiye hakimu wa haki, ndiye anayefahamu ukweli wa mambo yote.

Uchaguzi wa 2010, tutasikia mengi.
 
RIP Honourable
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe milele. Amen
 
Poleni sana familia ya Marehemu Ng'itu. Mungu amlipe kwa mema aliyoyafanya na awape subira wale wapendwa wake aliowaacha, kwani sote tutaishia huko.

Wakati huu wa kifo, hasa cha mtu unayemfahamu, ndio wakati wa kujikumbusha kuwa hapa duniani tuko transit tu na huwezi kujua wapi na nani atakuzika.

Kwa hiyo ndugu zangu tumche Mungu, tupendane, tusaidiane na tushirikiane. Tauche magomvi, fitna, husda, ufisadi na wivu kwani muda wetu wa kukaa hapa duniani ni mfupi sana ukilinganisha na huko Ahera ambapo malipo meme utayapata kwa mambo yaliyokuwa marked na BLUE wakati yale yaliyo katika RED ni balaa tupu ndizo utazozipata.. Amen
 
RIP Ng'itu,kumbe Ng'itu huyu mbunge na yule wa UWT walikuwa related.Its very sad kuwapoteza ndugu wawili in quick succession.
 
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi

mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amen
 
Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu katika kipindi hiki kigumu kwao na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
salaam nyingi kwa Amina Chifupa na Chacha Wangwe, waambie huku bunge linaendelea , na jumaatano kuna Historia mpya itaandikwa nchi hii.
PUMZIKA KWA AMANI.

hakuna kitu wewe...historia iandikwe kuhusu nini
wewe unawajua CCM au unawasikia..we endelea na shugguli zako usipoteze muda eti kuna jipya litatokea
 
Back
Top Bottom