Recent content by Sivan

  1. Sivan

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Nimesoma Bachelor of Art Education, History & Kiswahili

    Wewe Mustapha mbavu umekuja kuomba ajira JF 😂😂
  2. Sivan

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel hili halina tofauti na uhujumu uchumi

    Kishindo cha awamu ya tano.
  3. Sivan

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuhudumia mawakala

    Yaani wewe unataka kuwauzia flot maanake.
  4. Sivan

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

    Munataka miundombinu au ajira mbona hanueleweki.
  5. Sivan

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuweka Background colour kupitia simu

    Download PicArt. ukiifungua nenda kwenye Freecrop utafuta usipopataka then unachagua Background Color.
  6. Sivan

    JamiiForums Tanzania Apple Iphone 12 is finally here

    Tafuta pesa acha ujinga.
  7. Sivan

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira ajira! Vibarua wanatafutwa

    Hii imekaa poa sana ila isiwe kutembeza tu.
  8. Sivan

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

    Ila hii kauri ya kibabe sana miaka 5 ijayo inaweza ikawa na neema kwa vijana wetu.
  9. Sivan

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya Ualimu (Private School)

    Ofisi yao iyo Gardaword ndio pale Mikocheni Warioba ukitokea Scott Pizza.
  10. Sivan

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

    Sie wa Freebasic tusaidiwe.
  11. Sivan

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua machache kuhusu biashara ya Chupa za Plastiki zilizotumika

    Inachukua muda gani mpaka kufikisha mzigo wakuja kubebwa na gari...namaanisha ndani ya muda huo huo mzigo unakuwa umefika KG/Tonne ngapi.
  12. Sivan

    JamiiForums Tanzania Nisubiri ajira za ualimu za Dkt. Magufuli?

    😂 😂 😂 yaani usropishe mishe zako kwasababu umetuma maombi sehemu aisee mimi nimeomba hizo nafasi sasahivi nipo safarini kuzamia kwaZuluNatali hiyo bakaa tu.
Back
Top Bottom