fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 809
- 2,216
Wanabodi,
Hamjambo wote,
Kampeni zinaendaje,
Muwazima wote?
Back to mada, Mimi ni mhanga wa tatizo la ajira za awamu ya tano maana nimehitimu miaka minne iliyopita katika fani ya ualimu masomo ni kiswahili na history. Sasa majuzi kati serikali ilitangaza ajira elf 13 nami nikatuma kujaribu bahati.
Kwa miaka kama minne iliyopita nilijikita kwenye kilimo na miezi kama hii ya mapumziko nimekua nikifungua center kwa ajili ya pre form one. Hawa watoto hunisaidia kupata hela ya kula na kunikeep active ili nisisahau sana mambo ya vitabu.
Ndio niliamua kufanya hivyo baada ya kuambiwa kama nikijitolea nitajitolea kwa 100% sitapata hatà ndululu maana shule hazina hela na za private zimejaa kama nikitaka basi nifundishe for funny!
Sasa wanazengo ndo nimekuja hapa nipate mawazo. Je niendelee na utaratibu wangu wa kila mwaka au nisubiri ajira zitoke kwanza?
Maana nahofia kuwauza watoto wa wakulima wenzangu iwapo nikapata post katikati ya kipindi cha maandalizi ya kujiunga na kidato cha kwanza.