Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Kwa upande wangu, kutoka kwa hizi ajira inategemea lengo kuu la hizi ajira. Ikiwa lengo la ajira ni:

A) sehemu ya kampeni ili waweze kupewa kura za kutosha, basi ajira zitatolewa baada ya uchaguzi kupita.

Kwanini? Idadi ya ya waliomba ajira hizi ni kubwa sanaaaa ukilinganisha na uhitajio wake... Hivo, kama watatoa ajira kabla ya uchaguzi, waombaji wengi wataachwa hali itakayopelekea wengi wao kutowapigia kura wagombea wao. Hivo, watasubiri kwanza tupige kura tukiwa na imani ya kuajiriwa then ndo watoe hizo ajira.

B) kuongeza nguvu mashuleni ili kuboresha elimu, basi ajira zitatolewa kabla ya uchaguzi na walimu waripoti kazini haraka iwezekanavyo.

Kwanini? Zoezi la shortlisting linauwezo wa kukamilika ndani ya wiki 2-3 na kutoa majina ya walimu pamoja na vituo vyao vya kazi. Hivo hadi kufikia kwenye tarehe za 20 na kitu hivi, ajira zinaweza kuwa tayari.
Acha utani mkuu, ajira za afya zimechukua mwezi mzima kutangaza walioajiriwa, na ukizingatia walikuwa wachache sana hawazidi 300, iweje ualimu wachukue wiki 3 ukizingatia ni wengi sana 13,000
 
Acha utani mkuu, ajira za afya zimechukua mwezi mzima kutangaza walioajiriwa, na ukizingatia walikuwa wachache sana hawazidi 300, iweje ualimu wachukue wiki 3 ukizingatia ni wengi sana 13,000
Haikufika mwezi, ajira waliomba kuanzia tar 22/08 hadi 31/08 na tar 23/09 wakaitwa kazini... Then, huo ni mtazamo wangu, kama una wa kwako tofauti share kama walivoshare wengine
Asante
 
Back
Top Bottom