Ajira ajira ajira! Vibarua wanatafutwa

Bravo Esir

New Member
Oct 13, 2020
4
1
Kampuni ya ABA MILK CO. LTD inatanga nafasi za kazi(vibarua).

Sifa
- umri kuanzia miaka 18
- Awe mkazi wa Dar
- Elim yake ajue kusoma na kuandika
- Awe mwaminifu na mchapakazi
Kwa mawasiliano Piga 0682314291(meneja)
Au fika ofisin kwetu Mtoni kwa aziz ally
Mtaa wa chaurembo,
Temeke Dsm kwa maelezo zaidi
 
Njoo Ofisin kk afisa masoko atakupa maelekezo ukayaridhia utapata mkataba maisha yanasonga
 
Hongera kwa tangazo bt kumbe huyu Chaurembo ana mtaaa hayo maeneo?
 
Kampuni ya ABA MILK CO. LTD inatanga nafasi za kazi(vibarua).

Sifa
- umri kuanzia miaka 18
- Awe mkazi wa Dar
- Elim yake ajue kusoma na kuandika
- Awe mwaminifu na mchapakazi
Kwa mawasiliano Piga 0682314291(meneja)
Au fika ofisin kwetu Mtoni kwa aziz ally
Mtaa wa chaurembo,
Temeke Dsm kwa maelezo zaidi
Kampuni ya ABA MILK CO. LTD inatanga nafasi za kazi(vibarua).

Sifa
- umri kuanzia miaka 18
- Awe mkazi wa Dar
- Elim yake ajue kusoma na kuandika
- Awe mwaminifu na mchapakazi
Kwa mawasiliano Piga 0682314291(meneja)
Au fika ofisin kwetu Mtoni kwa aziz ally
Mtaa wa chaurembo,
Temeke Dsm kwa maelezo zaidi
Kampuni ya ABA MILK CO. LTD inatanga nafasi za kazi(vibarua).

Sifa
- umri kuanzia miaka 18
- Awe mkazi wa Dar
- Elim yake ajue kusoma na kuandika
- Awe mwaminifu na mchapakazi
Kwa mawasiliano Piga 0682314291(meneja)
Au fika ofisin kwetu Mtoni kwa aziz ally
Mtaa wa chaurembo,
Temeke Dsm kwa maelezo zaidi
mwisho wa kutuma maombi ni lini boss?
 
Back
Top Bottom